Artist: Collins Pinky
Lyrics of Artist: Collins Pinky
Lyrics of Artist: Collins Pinky
[Lyric] YESU ANAWEZA (Collins Pinky)
Yesu unipendaye Kwako nakimbilia Ni wewe utoshaye Mwovu akinijia; Yafiche ubavuni Mwako maisha yangu; Nifiikishe mbinguni Wokoe moyo wangu Ngome nyingine sina; Nategemea kwako Usinitupe Bwana Nipe neema yako Ninakuamania Mwenye kuniwezesha; Shari wanikingia Vitani wanitosha Nakutaka Mpaji Vyote napata kwako; Niwapo muhitaji Utanijazi vyako; Nao...Learn MorepopCollins Pinky