Artist: Jux.
Lyrics of Artist: Jux.
  1. [Lyric] Mapepe (Jux.)

    Verse:1 Labda uliza moyo wangu Ndo umenifanya mi nifike mapema Mama uliza moyo wangu Unavyonitesa imenibidi kusema (Eeh) Pre-Chorus: Zamaaaani Toka zamani mama Nilikuwa na ndoto siku moja ukae nyumbani (Aaaah aaaah aaaaah) Usikatishe penzi ghafla Ndo kwanza penzi letu linanoga tu Kama shida wote tumepata Sasa unachokitaka unakipata boo (Boooo...Learn More
    rbJux.