Artist: Njoki Karu
Lyrics of Artist: Njoki Karu
  1. [Lyric] Simama Imara (Njoki Karu)

    [Chorus] Simama imara jilinde Neno lake Bwana imara Kesha kila siku uombe Utasimama [Chorus] Simama imara jilinde Neno lake Bwana imara Kesha kila siku uombe Utasimama [Verse] Milima yote na mabonde Itayeyuka Neno lake Bwana imara Litasimama [Chorus] Simama imara jilinde Neno lake Bwana imara Kesha kila siku uombe Utasimama [Chorus] Simama imara...Learn More
    popNjoki Karu