Artist: Wakazi
Lyrics of Artist: Wakazi
  1. [Lyric] Amka Mtanzania (Wakazi)

    Songa Yeah! Innocent aah Songa yeah Aah Habari mpendwa,mlengwa wa hii habari/ Kabla hujatendwa jaribu kwenda na tahadhari/ Jali kalenda,kuna chenga za hatari/ Usipojijenga basi utatengwa na safari/ Usione noma wauza sura hawana ishu,kila siku soma pia chana kama Chiku/ Uza mahindi maji baridi misosi mingi/ Jua la utosi usihofu wee force...Learn More
    rapWakazi