Song: Alivyo Mzuri
Artist:  Abdallaza
Year: 2021
Viewed: 0 - Published at: 5 years ago

Abdallaza
Intro
Chini Ya Maji haha Ngojea

Haha

Alivyo Mzuri BFM YOU KNOW Alivyo Mzuri

WE BACK WE BACK

Sieziamini Eeeh!

Whyne P

Nilimuomba Namba Ya Simu akanambia sina
Jinsi Ya Kum Approach Nikamuuliza Jina
Kwama Ringo Na Madaha Akanambia Tina
Japo Ngozi Nyeusi Asili Yake Yakichina
Mtoto Mzuri Alivo Umbika Yani Huezi Pima
Paka Watamani Uwe nae Yani Siku Mzima
Alomakinika Full Na Mambo Ya KiutuUzima
Ukiwa Nae Hutamani Nyota Yake Kuzima
Figa Namba Nane
Macho ndo Usiseme
Sauti na Tabia
Mpaka Niwe Nae
She is So Beautifull One of a kind
Hata Nikimkosa Najua Nitakua Mashakani
Basi songa Baby unipe,kiss na hug
Ukiwa Nami Kila Place tucheze,temted to tach..
Maana Staki mwengine Ila ni wewe Mama
Mana Bila wee Najua Nitaaumia
Basi Songa Baby Unipe. Me.. Kiss Na Hug
Ukiwa Karibu Tucheze aah... Temted to tach
Maan Sitaki Mwengine Ila wewe Mama
Maana Najua Bila wewe Nita Nitaumiaa
Abdallaza

Unavyo sparkle,siwezi waza mpango wa kando
Aiih, Alivyomzuri iih,(Alivyomzuri iih) Aliyvo Mzuri
Hakianani Siezi amini Hakianani siwezi amini

Unavyo sparkle,siwezi waza mpango wa kando
Aiih, Alivyomzuri iih,(Alivyomzuri iih)

Hakiaanani Siezi amini iiih
Hakiaanani Siezi amini iiih

Hua na act smart,sipend kuwa masaliti
And I got tell fact,nishampata huyu binti
Nimemueka kwa heart,kamwe siezi mhurt
I Know this so smart,let me call her sweetheart
Hata wenye roho ngumu,zaidi ya ile ya Osama
Pia nao wako humu,kwa mapenzi wanazama
Wanajua penzi ni tamu,wakilikosa linawauma
Wanataka la kudumu,ambalo halitazima
My shining star wewe ndio unanifaa
Sitaki mwengine mana ni wazi nitamkataa
U got everything that a cute girl must have
Ndio maana everyplace nataka niwe nawe mamaa

Basi songa Baby unipe,kiss na hug
Ukiwa Nami Kila Place tucheze,temted to tach..
Maana Staki mwengine Ila ni wewe Mama
Mana Bila wee Najua Nitaaumia
Basi Songa Baby Unipe. Me.. Kiss Na Hug
Ukiwa Karibu Tucheze aah... Temted to tach
Maan Sitaki Mwengine Ila wewe Mama
Maana Najua Bila wewe Nita Nitaumiaa
Craj

Unavyo sparkle,siwezi waza mpango wa kando
Aiih, Alivyomzuri iih,(Alivyomzuri iih)
Hakianani Siezi amini Hakianani siwezi amini

Unavyo sparkle,siwezi waza mpango wa kando
Aiih, Alivyomzuri iih,(Alivyomzuri iih)

Hakiaanani Siezi amini iiih
Hakiaanani Siezi amini iiih

Nimeshakula Kiapo Sitokula Asali nikutupe Kando Mamma
Umeniziba macho nacheki kwa site wengine hawapo Mamma
Nakuhitaji uwe wangu Mpenzi ndo maana nakuimba kwenye hizi Tenzi mamaa
Ona Ninavyo Imba Kwa Hisia Kuonyesha ni Jinsi Gani Nimekuzimia Mammaa

Chorus

Unavyo sparkle,siwezi waza mpango wa kando
Aiih, Alivyomzuri iih,(Alivyomzuri iih)
Hakianani Siezi amini Hakianani siwezi amini

Unavyo sparkle,siwezi waza mpango wa kando
Aiih, Alivyomzuri iih,(Alivyomzuri iih)
Hakiaanani Siezi amini iiih
Hakiaanani Siezi amini iiih

Bulet Music
BFM
WHYNE P
CRAJ BABY

( Abdallaza )
www.ChordsAZ.com

TAGS :