Song: Bei imepanda
Artist:  Breeder LW
Year: 2021
Viewed: 51 - Published at: 3 years ago

Ukipanda ligi unafaa kujigamba
Ku flex huanga gharama
Shawty a 10 sura ni safi haitaki mascara
Depo ziii baada ya janta leta ma bramba
Wakisema unajifanya
Si kwa ubaya bei imepanda
Bei imepanda bei imepanda si kwa ubaya bei imepanda
Wakisema unajifanya si kwa ubaya bei imepanda
Bei imepanda, bei imepanda si kwa ubaya bei imepanda
Baada ya janta leta ma bramba si kwa ubaya bei imepanda
Bei imepanda design ya irori
Uswahilini husema bei ni ghali
Sitaki hio mchezo ya ndai ni ndai
Bei imepanda na pree ferrari
Ka ni kurau ni very early
Kuzikusanya ni daily habit
Naiga Van Persie bei ilipanda akatoka Arsenali
Bei imepanda lakini ya PS5 tunangoja ishuke
Dеnri mbichi hazilali kwa kamba ama utazikosa shoke
Bei imepanda najifanya bubu ka story hubongi ya pakе
Bei ilipanda nikatoka msupa nikaanza kusuka mathake
Campo ariff second year alisare
Na ni kwa nini
Fee ilipanda
Kukinyesha we chorea ma nganya
Na ni kwa nini
Fare hupanda
Bei imepanda nadai Tanasha
Na ni kwa nini
Ndio nikue step father
Niko na kwetu, me ni ja usonga nikiukata siezi zikwa lang'ata
Na sipigi lap ka sii ganji imenitoa
Panda bei mpaka hater aseme unafanya kazi poa
Ka ulipata rona uliza nani ali kohoa
Wametry kutuondoa naona bado wajatoboa
Ngoma ka imeshika unakatika sure
Drip ikikubali we mwagika loa
Ukipata ayela na amejipa oa
Na ni smooth amenyoa Bazenga atabomoa
Statue mi nataka isundwe hapo kando ya Mboya
Man a heavyweight me ni black De la Hoya
Hapa kila kesi tuna solve bila lawyer
Chai si ya edgar chai ni ya soya
Ukipanda ligi unafaa kujigamba
Ku flex huanga gharama
Shawty a 10 sura ni safi haitaki mascara
Depo ziii baada ya janta leta ma bramba
Wakisema unajifanya
Si kwa ubaya bei imepanda
Bei imepanda bei imepanda si kwa ubaya bei imepanda
Wakisema unajifanya si kwa ubaya bei imepanda
Bei imepanda, bei imepanda si kwa ubaya bei imepanda
Baada ya janta leta ma bramba si kwa ubaya bei imepanda
Bei imepanda nilipe ndio nije matanga
Mi nakuita mshamba ka we unangoja nirudi moshadha
Zile mboka mi napanga usinilipe ni ka doo unachanga
Ati bob bob eh buda mi nitakuganga
Hii pete ilipatanga chanda
Na ni kwa nini bei imepanda
Usiku ni kazi napanga
Na ni kwa nini
Sina kitanda
Safari inasonga na nganya ambia mahater wafunge mikanda
Hii doba imekuja kuhanya vile inatesa ni vol kupanda, ayy
Vol kupanda kwenye videsa nachocha na TK
Bars on bars kutamba vile ni kubaya tumeleta decay
Fresh utadhani ni pk umestarve we ngoja nipike
Jaduong akisema nisike kenye anamean ni buda nishike
Ni simba lakini ni jike na bado nawinda so bana nipishe
Hii kitu lazima ijipe mi niko macho hadi jimbi liwike
Ka ni collabo sipeani sare ju mi pia nili kanja the weekend
Usikurupukwe ndio ati mi nilipuke nauwa ndio nyinyi mzike
So bei imepanda buda nasema ati bei imepanda
Na bei ikipanda mi huwa nachachisha kama makanga
Nilisare kibanda walai ata heri nikose kumanga
Bei imepanda wacha kulia ati uko dimanga
Ukipanda ligi unafaa kujigamba
Ku flex huanga gharama
Shawty a 10 sura ni safi haitaki mascara
Depo ziii baada ya janta leta ma bramba
Wakisema unajifanya
Si kwa ubaya bei imepanda
Bei imepanda bei imepanda si kwa ubaya bei imepanda
Wakisema unajifanya si kwa ubaya bei imepanda
Bei imepanda, bei imepanda si kwa ubaya bei imepanda
Baada ya janta leta ma bramba si kwa ubaya bei imepanda

( Breeder LW )
www.ChordsAZ.com

TAGS :