Song: Better Days
Artist:  Wakadinali
Year: 2018
Viewed: 82 - Published at: 8 years ago

[Chorus: Dyana Cods]
Damn, take me back into your world again
I feel like I'm loosing my life
Loosing my mind
People always talking
The world gets tougher I cry
Lord knows I'm trying gotta keep my head up
Aaah aah aah ah ah, there are better days ahead
Por favor, señor
Por favor, mi amor
Ah, señor caliente

[Verse 1: Scar]
Idhaa inaticktock
Nadai kupaa before nifike forty
Na bado ni kupick pocket ma pill popping
Kujikoki but we still hoping
Watakuja kututoa hizi streets sote
Nikaambiwa ni wera tu itanitoa nisijichoche

So east ni kupoa manze feel at home
Wameondoa wengi wetu but they can’t kill us all
Maisha ngori mi nakula mikos
Hakuna building jini sijaingia human resource
Ka na smile ni ya vako bidi nijajiforce
Ka ni kuburn babylon hiyo story tunarepost
Mara eti niachange ujanja nichukuе mbuku
Mi fala nilitokea tao bana na kifua tupu
Wakule nyama si tukose hata kukunywa supu
Bеtter days inakam kujitoa huku (kujitoa huku!)
Ama hata nifufue shosh akam through tuchukue photo

[Chorus: Dyana Cods]
Damn, take me back into your world again
I feel like I'm loosing my life
Loosing my mind
People always talking
The world gets tougher I cry
Lord knows I'm trying gotta keep my head up
Aaah aah aah ah ah, there are better days ahead
Por favor, señor
Por favor, mi amor
Ah, señor caliente

[Verse 2: Domani]
(Yeah)
(Yeah, yeah, yeah, yeah)
(Tunakam)
Venye tunaendelea kuzipurura
Nashuku ozone imetutayarishia acidic rain
But wewe stori yaku ni kusaidika [?] ya biz men
Hakika mkopo kwa biashara daima ni hasidi daily
Nitafurahi kikipata marafiki frequent
But fuck ka hawafiki bei
Hata mmtusi sheikh kanisani Kwa msikiti ana fans
Sihepi ati poison ya hizi mr snakes bila fangs
Front cover magazine hauskii kwa kila page najibrand
And I know the road is straight and narrow so sitablander nibranch

Si unajua kuna watu hufanya dhambi ju ya chuki mwanangu
Wengine public bila adabu
Wanadai kunitisha life yangu crucify ni kama yesu
Na mimi tu ni binadamu

Hauskii hapa hivi ndio upitie shortcut
Niko sure that hauwezi kuwa sober
Hadi upeleke dem baesa ndio utajua ni mlevi wa kawa
We ran for medical purpose pekee
Which even the blind can see
Mr ceo chairman nashinda BVR kit
Na bado mi hudishi tikiti moto sijai mindingi hygiene
Back to the latter mi hukalia kiti moto kushinda ile ya IEBC
(Back to the latter mi hukalia kiti moto kushinda ile ya IEBC)

[Chorus: Dyana Cods]
Damn, take me back into your world again
I feel like I'm loosing my life
Loosing my mind
People always talking
The world gets tougher I cry
Lord knows I'm trying gotta keep my head up
Aaah aah aah ah ah, there are better days ahead
Por favor, señor
Por favor, mi amor
Ah, señor caliente

( Wakadinali )
www.ChordsAZ.com

TAGS :