Song: Chapa kazi
Artist:  Hyper Kid
Year: 2013
Viewed: 79 - Published at: 7 years ago

Verse 1:Hyper Kid
Go get a job
Yo kijana chapa kazi
Usitegemee mafanikio yapo wazi
Usipige makelele ur mama
Ur mama atakupa radhi
Cha msingi we simama kama kijana
Nau chape kazi ,kazi..kazi ..yeah
Chapa kazi
Boy i know ur thirsty (yeah chapa kazi )
Uwoga wako umasikini wako umejifunza kwa wenzako
Usiombe pesa hamna pesa ,omba kazi do ur hustle
Kazi ni kazi ,kazi ina kidhi mahitaji
Hadhi haishuki kwa kazi ,sio kila kazi ni kazi
Utafungwa au maradhi ,utashusha hadhi wazazi ,kujituma sio utumwa ,so soon utayachuma..
Ahadi ahadi alizotoa ni baba
Akili ni mtaji ,mtaji wa pesa ni baada
Tumia kipaji.. kipaji ulichopewa na baba
Usijikute mjuaji wakati hauzijui hizi mada
Futa jasho kamanda (okay)
Kifuatacho ni mkwanja
Wakiruka viwanja we vuta kiwanja
Nafanya nacho fanya ,coz i really dont care
Haters hamna mwanya
Better say ur last prayers...
Chorus::G nako
More money ,More problems (ehh)
Hela mingi ,shida mingi (huh)
Shida mingi humalizwa kwa hela mingi wewe
(we chapa..cha..chapa..cha chapa cha chapa kazi) 2

Verse 2:Hyper kid
Sipo hapa kuentertain
Nipo hapa ili ni-gain ,no pain no gain ,sipumziki hadi uzeeni
Wavivu siyo type yangu
Wanaodhani nitalegeza
Muda sio siri yangu , Kamwe siwezi kuipoteza (neva) ,Wasomi wengi wenye akili wachache
Ndo maana na chapa kazi
Ili chochote ni pate ,sifanyi kazi bila pesa
Boy heshimu uwepo wangu
Si subiri kuajiriwa ,mi najiajiri kivyangu (ahah) ,deal after deal
Toka deal napiga deal
Dream chaser ,paper chaser
If u still im ill ,and my hustle stay real
And my goals stay real ,siwezi kuumiza akili
Nimeandamwa na bills
Work work work motowns on top ,work work work rau veta dont stop
Drop drop drop ur dreams gonna drop
Stop and work ,hustle and rock
G.M.G gonna rock ,Mafanikio dats my way
Lord help me and i pray
Coz i wanna get paid , Nipeleke home my new game
(Asiyefanya kazi na asile ,dats wat bible says )2
G.M.G
(chorus)2
(chapa kazi ,cha cha chapa kaz ...go get a job )8

( Hyper Kid )
www.ChordsAZ.com

TAGS :