Song: Chini Ya Mattress
Artist:  Llawrenc
Year: 2021
Viewed: 33 - Published at: 4 years ago

Yea
La Masela au sio

Chorus
Itabidi umake appointment, na sina time for that shit
Trap money chini ya mattress, kaa haimake doh haimake sense
Siezi rukisha mechi, nikona wife na mistress
Ati nliskia hamnipendi, basi sijaget hio message

Uhh yea, cheki
Niggas taking turns being opps nami sishtuki
I just wanna make a milli split it with my team mwana si ndo mamluki
Sikupenda shule but you can't school me and my game is on Mario Manzukic
Nikitema kwa beat itasound foolish
Weka reciepts ndio wajue si bure
Uhh yea!
Fast money never stops ndio maana nashinda nkitisha
Napiga malap ndio nisettle na fala kidesign ya Vеra Sidika
Talk to me nice uh baby unaeza pata zarе nkaskiza
I'm all the way up ndovu kwa pori nasema nlichorea kupinda
Nilishaharibika, kuchoma makoro nkiwa kumi na sita
Nyi mnachoma picha, hii itahitaji misa, Wow!
Come be Arnelisa shawty but usiswitch Noni Gathoni
Life is a bitch nami niko horny nipate nikikaranga jikoni
Uhh!
Chorus
Itabidi umake appointment, na sina time for that shit
Trap money chini ya mattress, kaa haimake doh haimake sense
Siezi rukisha mechi, nikona wife na mistress
Ati nliskia hamnipendi, basi sijaget hio message

Vile naokota mathao nikaa mkao akiniuliza Wenda chao?
Off to the money am headed sipotezi seconds kabla avue nlikua nshambao
Nawalipia karo mi ndio baba yao, pull up kwa bank singing bella ciao
Non of these niggas really on my league juu mi hucheza chafu na siogopi fouls
We zidisha chuki mi sifi, rudisha kwa stove bado mbichi
What I got cooking is worth half a ticket I'm still pushing weight na ni quarantine
On the scene with a drill machine extendo longer than a limousine
Changed up nigga what you mean? I didn't even know you kaa mbali na mimi
Sop sopu lakini bado jangili, I want all the smoke kaa Idi Amini
Chaf pozi oya lazma njipini, since a shawty I was already tweaking
Hana ngotha naeza ona she leaking, pink juice in my system
Bruce Lee I ain't playing games with these niggas am prepping waeza dhani naendanga mission but its just a movie

Chorus
Itabidi umake appointment, na sina time for that shit
Trap money chini ya mattress, kaa haimake doh haimake sense
Siezi rukisha mechi, nikona wife na mistress
Ati nliskia hamnipendi, basi sijaget hio message

( Llawrenc )
www.ChordsAZ.com

TAGS :