Song: Corona virus
Artist:  Ken Demacra
Year: 2020
Viewed: 57 - Published at: 6 years ago

Ken Demacra
Corona Lyrics
Intro Dollar boy Oyeeeh

(Verse 1)
Huu ugonjwa wa corona Inatuuwa
Itabidii tufiche sura
Duniani hakuna dawa mkutano tupige Kura
Nichemshe miti shamba

Wanasayansi wote mpaka madaktari
Wametafuta dawa bado hakuna
Nichanganye tangawizi na achari
Na solution bado hakuna

Kila siku Kwenye runinga
Kwa mawaitha ya wanafya
Eti ninawe mikono na sabuni
Kusanitize mkono avoid umati
Tukifanya hizi zote wakenya wangu
Tutazuia maambukizi ya corona
(Pre chorus)
Mungu wetu anayetupenda kwa shida na kwa furaha
Tuokowe kwa janga la corona

(Chorus)
Usizingi hatulali eti juu ya
Corona eeeeh corona
Eeeeeh corona tuzuie corona
Maambukizi ya corona aaaah

(Verse 2)
Tena wafanya biashara
Kutumia ndege hawaendi
Mauwa juzi yaliaribika
Hasara kubwa wameenda

Churchill hatuendi hakuna kucheka
Mchezo wa kandanda sikuhizi hawafanyi
Mimi nataka niwambie sikia mawaitha ya gova
Kuwa makini hata na chukula unachomeza

Taifa imeingiliwa na janga (janga la Corona)
Inaweza kuwa sisi Ni sina (Ooooh sisi Sina)
Kutembea Usiku SEMA hapana (Oooh hapana)

(Pre-chorus)
Mungu wetu anayetupenda kwa shida na kwa furaha
Tuokowe kwa janga la corona
(Chorus)
Usizingi hatulali eti juu ya
Corona oooooh corona eeeeh corona
Tuzuie corona oooooh corona
Maambukizi ya corona eeeeh corona

(Conclusion)
Ukitoka kwa nyumba vaaa maski
Sio Wakati wa kutafuta Kiki
Mademu kata kucha
Situation kwote kwote kumechacha
Dollar boy Oyeeeh

( Ken Demacra )
www.ChordsAZ.com

TAGS :