Song: DESTINY
Year: 2022
Viewed: 27 - Published at: 7 years ago

Eti wanataka tuonane, while i’m thinking about money
Eh kwani kitu gani, hebu mniache jamani
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny

Fake nimeweka kando, wakinicheck sina bando
Wakija nyumbani nawaeka kwa jirani wasije kunitoa chambo
Vichekesho mi si Bambo, pata pesa uone vitambo
Au fukuza mama nyumbani ndo uone vituko vya mama wa kambo
Basically i’m taking everything up and nothing you niggas can tell me
Wakiona baraka inamiminika wanabonga, ukidunda hawasemi
Maisha magumu ndo maana nasaka kinoma ili nife kiboss
Pato kidogo nakata niitume kwa mama nifute mikosi
So ntaimba hennessy hennessy, na watoto beneti, bеneti
Sitaki urafiki hauna benefit, goals nimеweka mbele shit
The force is pullin’ me close, I’m spending my money on stima na clothes
Rappers wanaumwa nakuja na dose, ni kama corona they fully exposed

Eti wanataka tuonane, while i’m thinking about money
Eh kwani kitu gani, hebu mniache jamani
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Kwanza nipe pole na safari nilipotoka ujue ni mbali
Nikipata kitu nasali, kama hatujuani mikausho mikali
So ukinikuta tu na pisi kali, usije ukataka habari
Wauni wako fiti kwa shari, wauni wamechoka utapigwa uwe chali
Mimi ni crush wa kila mitaa, jamaa, na sijakata tamaa
You niggas you lie, i’m better kwa kila design
Pesa zikwapi nisign, taking everything mine
Kwenye zile thin line za love they’re hating
Ka mziki ni shule nna vyeti, they prolly be checking the ratings
Mi amor mi amor, bado mi nasaka dow
Nisiwe wa mwisho, no, hatuwezi kutubu no more
Hustle zimeshanipa roho chafu nahitaji sabuni ya roho
So mpaka nashuka below, yeah

Eti wanataka tuonane, while i’m thinking about money
Kwani kitu gani, hebu mniache jamani
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny
Wanataka kuharibu my destiny, my destiny, my destiny

( Salmin Swaggz )
www.ChordsAZ.com

TAGS :