Song: Dilated
Artist:  Wakadinali
Year: 2020
Viewed: 79 - Published at: 8 years ago

[Intro]
Mikasa leo mabunduki ndio zilikuwa zinafanya kazi
Pupupupu, pu pu pu pu, si watu watakufa
Sasa mimi mtu kama mimi sina bunduki
Sina bunduki, na hivyo DCIO
GK wakuje watusaidie

[Chorus]
Si hukam na mamacho dilated
Ofcouse utaitana
Karao alihate mabro walirelate
Ju mabro marijuana
Nguna ana fake accent
Lakini amejaribu
Ka uko na chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu

[Chorus]
Si hukam na mamacho dilated
Ofcouse utaitana
Karao alihate mabro walirelate
Ju mabro marijuana
Nguna ana fake accent
Lakini amejaribu
Ka uko na chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu
[Verse 1]
Napiga lap Nairobi maithaa mbaya kama helly ya Covid
Area code ni maili ya saba Android ilipeana mbogi
Kikosi haikosi kusambaa panga, ukiresist kwa lobby
Shori alitaka namba amezoea kuchimba, kachimbe fossils
Walifuatwa kutoka outta
Wakamadwa Kagundo Road Mowlem
Early sato morning Ali alishtuka Hessy amemoket
Spider weapon gun imported we una AK 47
Usipatwe ogopa open naskia kuna msako baada ni saa 7
Leo tuko ndani ya keja hatutoki
Jeshi iko handas na choki
Mblеina alikuliwa toja, toki, talker copper na koti
Jeshi ya Koja, tuko Tom Mboya unlеss ni bigi missioni
Tourist mwenye aligongwa na hawker akatoboka madollar, sorry
Welcome to Nairobi though, chunga pori yoh
Giza kwa corridor arif aligeuziwa na morio
Android ilipigwa tapo chokoch alichumia Landies Road
Si uliambiwa ungafu diro, madam huku hatuko Otedo

[Chorus]
Si hukam na mamacho dilated
Ofcouse utaitana
Karao alihate mabro walirelate
Ju mabro marijuana
Nguna ana fake accent
Lakini amejaribu
Ka uko na chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu
[Chorus]
Si hukam na mamacho dilated
Ofcouse utaitana
Karao alihate mabro walirelate
Ju mabro marijuana
Nguna ana fake accent
Lakini amejaribu
Ka uko na chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu

[Verse 2]
Chuom tunashinda zimecrome na makiller
Anti terror unit si wanajua Munga ni pro-man a Driller
Tortoise amphibian ni chura
Bony and Clyde tuvamie mashuttle
Ujue ka ulinitusi we ndo fala msee
Juzi nikidandia masacco
Facebook ni Freemode
Usiongelelee air pros
Kama hujai oganga na Omo ama ujipake Kimbo
Usiniambie about struggle
Tumeosha kuzoza labda uume mboch
Umenyonga monkey na uko lockdown
Mpaka umechoka
Mtaani ni gang run, ukishukiwa ni unyurie
Kuna siku Munga nilitry kutetea msee
Huyu ameshikiwa bure
Fuck it pingu zililand mi nikafungwa shoe lace
Kwa kina snitch tulibisha
Anadai angejisqueeze na dirisha
Ngeus alidhani tumechat tangu mchana
Amenikalisha mi nashikisha
Fans KOT wanadai kuskia
Miracle baby alidare
This is unfair, shori alikujia kuni
After ashakukula fare
Hii raha ina Corona, nmasuti and tie
Mradi koroga na different supplier
[Chorus]
Si hukam na mamacho dilated
Ofcouse utaitana
Karao alihate mabro walirelate
Ju mabro marijuana
Nguna ana fake accent
Lakini amejaribu
Ka uko na chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu

[Chorus]
Si hukam na mamacho dilated
Ofcouse utaitana
Karao alihate mabro walirelate
Ju mabro marijuana
Nguna ana fake accent
Lakini amejaribu
Ka uko na chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu

[Verse 3]
Pullup kwa nduthi, pah pah pah
Of course ni mchana
Victim alikuwaga mrahisi kuonekana
Ju anapenda fashion sana
Mi na ex-boss wangu tulishakosana
Of course nilimsanya
Bro ni Samurai jack akishika panga
Manze ni costume hana
Si guam tumepiga tukisababisha
Mpaka machuja zinatupa
We umekwom na manigga ati kunitisha
Na mi nimekuja na msupa
Kuona maziwa tunafanikisha
Nyama tunakula na mfupa
Ndom naririma, jaba nashikisha
Pombe tunaikunywa kwa chupa
Kukuja mnakuja manze na mi sitatambua
Juzi mbang'a angenisare but
Nilimuuliza malaya unanishika unanijua
Uliza Munga avocado zetu ukifinya unanunua
Napuliza gunga sababu tosha
Nipe Mola hii sifa na dua
Vibe iko sure, hii ndo masaa ukinicall niko mteja
Hustahili kuzua
Mi na budako hukunywa busaa na huko Kakamega

Hii kelele iliwalemea
Ndio maana mliamua kuilenga
Kiterere nikiteleza na rende
Lazima kutesa

[Chorus]
Si hukam na mamacho dilated
Ofcouse utaitana
Karao alihate mabro walirelate
Ju mabro marijuana
Nguna ana fake accent
Lakini amejaribu
Ka uko na chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu

[Chorus]
Si hukam na mamacho dilated
Ofcouse utaitana
Karao alihate mabro walirelate
Ju mabro marijuana
Nguna ana fake accent
Lakini amejaribu
Ka uko na chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu

( Wakadinali )
www.ChordsAZ.com

TAGS :