Song: Durag Na Slice
Year: 2021
Viewed: 22 - Published at: 2 years ago

Durag na Slice why lie ndo ina dai(yeah)
Durag na Slice si hupiga tu ma Nike(swag)
Na ukileta ujinga buda manze itakuwa fight(zogo)
Durag na Slice why lie ndo ina dai(yeah)
Durag na Slice why lie ndo ina dai(yeah)
Durag na Slice si hupiga tu ma Nike(swag)
Na ukileta ujinga buda manze itakuwa fight(zogo)
Ah Durag na Slice why lie ndo ina dai

Is this guy serious
Is this guy serious, or what?

Buruklyn Boys na ma Nike
Cheki label hii ni Slice
Durag kwa kichwa imefungwa tai
Influence na Mr Right
Hii track nawapa syke
Me hukill nikishika myk
Durag na Slice hufiki price
Ukileta zogo tutafight
Tu hufire hizi gem
Akileta ujinga mpige tisa 9
Manzi yako ako fine
But ukicheza nita mslice
Am a dog nita m-bite
Kwa hii njuanga ata-ride
Tеke teke coco bitе
Teke teke kaa kwa bike

Durag na Slice why lie ndo ina dai(yeah)
Durag na Slice si hupiga tu ma Nike(swag)
Na ukileta ujinga buda manze itakuwa fight(zogo)
Durag na Slice why lie ndo ina dai(yeah)

Durag na Slice why lie ndo ina dai(yeah)
Durag na Slice si hupiga tu ma Nike(swag)
Na ukileta ujinga buda manze itakuwa fight(zogo)
Ah Durag na Slice why lie ndo ina dai

Durag na Slice
I got the lines in my head
Unadhani me ni plane
Tunaroll ma Mary Jane
Hawa ma rapper ni walame
So Buruklyn utanipata
Madem mi nitawalapa
Kwanza me ni shrapper
Youtube, twitter kwanza washadata
Lui busy bee, me hupiganga mabiz
Kwanza nilihama B, sai nakuwanga na ma G
Kina Telvo kwenye Lynn, Phase 4 kwa kina Romeo
Sensi ni za jill jo
Lines zangu kali wanadhani ni Opilo
Right, agent wanajua hii ni kilo
Hii ni kilo, hii ni kilo hii ni kilo

Durag na Slice why lie ndo ina dai
Durag na Slice si hupiga tu ma Nike
Na ukileta ujinga buda manze itakuwa fight
Durag na Slice why lie ndo ina dai
Durag na Slice why lie ndo ina dai
Durag na Slice si hupiga tu ma Nike
Na ukileta ujinga buda manze itakuwa fight
Ah Durag na Slice why lie ndo ina dai

( Buruklyn Boyz )
www.ChordsAZ.com

TAGS :