Song: KILIO
Year: 2021
Viewed: 13 - Published at: 4 years ago

INTRO

NAJUA JUA LIMESHAZAMA
NAMI NIMEKWISHA KUCHELEWA

RIZIKI KWELI MAFUNGU SABA
NAMI YA KWANGU SIJAJAALIWA

SIO KAMA HATUPENDANI
ILA MIPANGO HAIENDANI
UTABAKI KUWA MY NO ONE
IJAPOKUWA HATUOANI

CHORUS

HIKI KILIO MAMA KILIO X3
ULOCHOMEKA NI MOYO WANGU
MILELE UNGEKUWA WANGU MMH

OUTRO
TULOYAPANGA HAYAJAFANA
NI BORA HERI TUNGEZIKANA

UZAE TUWE BABA NA MAMA
NINGALI BADO NIKO KIJANA

HAYA MAISHA YALISABABISHA MWENZAKO NAISHA ( Aaaa)
YANIKINAISHA NAPATA TABU NAMALIZIKA (Aaaa)

NI BORA NIENDE CHINI MIMI
NI BORA NIENDE CHINI MIMI
NIKIISHI SIWEZI KUWA MIMI


CHORUS

HIKI KILIO MAMA KILIO X3
ULOCHOMEKA NI MOYO WANGU


( To Be Continued )

( Raptor El Shariff )
www.ChordsAZ.com

TAGS :