Song: Listen
Artist:  Ezden
Year: 2012
Viewed: 52 - Published at: 2 years ago

B GWAY
VERSE 2

Saka A Na B Upate na C
Sio Sifa za mtaa ubaki Nanii
Haya Maisha ya Mtaa,Maisha na njaa
Sarafu Tafu Hard chafu ,Saka yako upate kwa Rahaaaaah

Kumbuka Ulipotoka na safari unayokwenda
Usichoke haujafika saka mia kwenye tenda
Moja ya Leo , Mbili ya kesho
Machozi Jasho na damu bila ya Lesso

Listen Huu ni mchana wenye kiza
Sauti ya maarifa itatamba kwenye Giza
Uliza Stuka saka dalla
Acha kulala mwombe jesus na ALLAH

Pata Pindi toka Tuition
Laini kama Lotion Substraction Addition
Fight fanya Mishe
Ezden na Bgway Saluteeeeh
Hii Ngoma inaitwa Listen

( Ezden )
www.ChordsAZ.com

TAGS :