Song: Mimi Kwa Ajili Yako
Year: 2022
Viewed: 0 - Published at: 4 months ago

Mbona una sononeko,Mbona una sononeko
Wauguwa ndani ndani,Wauguwa ndani ndani
Mbona una sononeko,Mbona una sononeko
Wauguwa ndani ndani,Wauguwa ndani ndani
Halikuishi sumbuko siri hii hadi linii
Uridhishe moyo wako nami niwe furahani
Mimi kwa ajili yako,Mimi kwa ajili yako
Nimeletwa Duniani, Nimeletwa duniani
Ahaaaa
Mimi kwa ajili yako,Mimi kwa ajili yako
Nimeletwa Duniani, Nimeletwa duniani
Bila hili wanna hali minakuwaza moyoni
Wewe ni yangu fakhari sema unaficha nini
Wewe ni yangu fakhari,Wewe ni yangu fakhari
Sema unaficha nini,Sema unaficha nini
Wewe ni yangu fakhari,Wewe ni yangu fakhari
Sema unaficha nini,Sema unaficha nini

Tamka ukitakacho,Tamka ukitakacho
Nikupeni siku hili,Nikupeni siku hili
Tamka ukitakacho,Tamka ukitakacho
Nikupeni siku hili,Nikupeni siku hili
Hata kama kiwe sicho nitakupa muhisani
Mapenzi kihamshacho niridhaa hata nyoyoni
Wacha waone kidicho,Wacha waone Kidicho
Mahasidi Mfatani,Mahasidi mafatanii
Sema nina kuhamisi kwangu huna mshindani
Nitakupa kirahisi washangae mafatanii
Nitakupa kirahisi,Nitakupa kirahisi
Washangae mafatanii,washangae mafatanii
Nitakupa kirahisi washangae mafatanii
Nitakupa kirahisi,Nitakupa kirahisi
Washangaе mafatanii,washangae mafatanii
Kwa fasaha ya ulimi kwa fasaha ya ulimi
Namadoido ya shanii namadoido ya shanii
Kwa fasaha ya ulimi kwa fasaha ya ulimi
Namadoido ya shanii namadoido ya shanii
Kwako kama sio wewe mwеngine we awe nani
Tamka nitakuridhi siku hili muhisanii
Kufutika nimaradhi kufutika nimaradhi
Toa kauli kinywani toa kauli kinywani
Kufutika nimaradhi kufutika nimaradhi
Toa kauli kinywani toa kauli kinywani
Utoe ondoa na hofu naomba ujiamini
Usingoje halafu nishatiwa kaburini
Usingoje halafu,Usingojee halafu
Nishatiwa kaburini,Nishatiwa kaburini
Usingoje halafu,Usingojee halafu
Nishatiwa kaburini,Nishatiwa kaburini

( Baraka Mkande )
www.ChordsAZ.com

TAGS :