Song: Mmenimiss
Artist:  Strevol
Year: 2021
Viewed: 82 - Published at: 9 years ago

Intro:

Chaaaaaah
Zeafri Afritone (Afritone)
Listen The Magic Sound From Africa call Me Pm the Don
Ariiiba rarastaaaa
Venntskillz On the Track
A big Shatta Inna Big tune (bigtune) PM the don A long Side Strevol
We Murder Dem Tune (Murder Dem Tune ) Murdeeeeeeeeeeer
Kalii (Kaliiiiiiii)

VERSE

Najua Mmenimiss
Everybody Miss Me
BabyGirl Miss Me
I know Dat You Miss me
Big Shatta Rudebwoyz wana Mmenimiss
Na Hii Ni kwaajili ya wote Mlionimiss
Tuliopotezana Kwenye Kuisaka Ridhiki
Wizkid Kingkaka Juacali Mmenimiss
Kampala Kigali na Soweto Mmenimiss
Coco Billcana Mcity Mmenimiss
Moro Mmenimiss Dom Mmenimiss
Kino Temeke Ubungo Ilala Mmenimiss
I Know Dat you Miss Mе
I Miss to Ma People
Live Dеm Girl Cheat Me
A cheat Dem Triple
Mmenimiss
Chorus:
Wale Interior Mpaka Town
Wanangu wa Boda Shada Pwani (Mmenimiss)
Kitambo Kidogo Sikusikika Hewani
Tv Redioni Hata Magazetini (Mmenimiss)

Si Ndio Mimi Basi Tufurahi
Si Ndio Mimi Turuke Tuwe High (Mmenimiss)

Kitambo Kidogo Sikusikika Hewani
Tv Redioni Hata Magazetini (Mmenimiss)

Si Ndio Mimi Basi Tufurahi
Si Ndio Mimi Turuke Tuwe High (Mmenimiss)

VERSE 2

Washamba wana diss
Kwenye Tv Redioni Mmenimiss
Huyu Amenimiss Yule Amenimiss
Wengi Mmenimiss
Mi Nimewamiss
Wale wamenimiss
Hata wewe Umenimiss
I Know Dat you Miss Me
I Miss you Too
All that You Miss
I Wish Too
Wasambazaji Cd wote wa Kariakoo (Oooooh)
Wanangu wa Namanga na Ngalelooo (Oooooh)
Wana wa Jela Sijawatupa
Hata Waliotutoka Twawakumbuka
Machizi Kibao wapo Kitaani Wanasaka Doo
Gwanda Begani Sina Matani
Wataomba Poo
Mmenimiss

Chorus:
Wale Interior Mpaka Town
Wanangu wa Boda Shada Pwani (Mmenimiss)
Kitambo Kidogo Sikusikika Hewani
Tv Redioni Hata Magazetini (Mmenimiss)

Si Ndio Mimi Basi Tufurahi
Si Ndio Mimi Turuke Tuwe High (Mmenimiss)

Kitambo Kidogo Sikusikika Hewani
Tv Redioni Hata Magazetini (Mmenimiss)

Si Ndio Mimi Basi Tufurahi
Si Ndio Mimi Turuke Tuwe High (Mmenimiss)

BRIDGE;

Dj dj Please Please Play Tune

Dj dj Please Please Play Tune

Dj dj Please Please Play Tune ( Rewind Come Back Selekta)

Play Tuneeeeeeee Play Tuneeeeee
Dj dj Please Please Play Tune (We Murder Dem)

Dj dj Please Please Play Tune

Dj dj Please Please Play Tune

Play Tuneeeeeeee Play Tuneeeeee

Mmenimiss

Chorus:

Wale Interior Mpaka Town
Wanangu wa Boda Shada Pwani (Mmenimiss)
Kitambo Kidogo Sikusikika Hewani
Tv Redioni Hata Magazetini (Mmenimiss)

Si Ndio Mimi Basi Tufurahi
Si Ndio Mimi Turuke Tuwe High (Mmenimiss)

Kitambo Kidogo Sikusikika Hewani
Tv Redioni Hata Magazetini (Mmenimiss)

Si Ndio Mimi Basi Tufurahi
Si Ndio Mimi Turuke Tuwe High (Mmenimiss)


Gerald Mgesi I see You

Luvinga The Son

KWANZA RECORDS

( Strevol )
www.ChordsAZ.com

TAGS :