Song: Moment of Silence
Artist:  BoiBlacc
Year: 2021
Viewed: 60 - Published at: a year ago

VERSE
Hivi karibuni hadi viziwi wataitika
Dem anadai ati namdai na bado sijaitisha
Temper ni fupi, ushanikasirisha
Tega sikio itabidi umemakinika
BoiBlacc the identity, walidhani ni jina
Beba mizani ka umekuja kunipima
Two thousand and twenty chuo zilitinga
Somea mtaani usiambukizane ujinga
Come slow, tera moss
Okinyal tugo koda, mi ndo boss!
Pod' apek! Heavy weight, of course
Lazima nifanye venye nadai
And amma do it by force
Coronavirus?
And it's real?
How many people from your family did it kill?
Got people panicking, my daddy wrote a will
But this is Kenya, not Italy or Brazil
Keep calm and meditate, you need to chill
And I keep a doobie on the window sill
And I tried to pay but couldn't fit the bill
And I've got no feelings, I just do it for the thrill
She calls me Willis, I prefer she calls mе Wil
But I'm a king and I ain't got no uncle Phil
Back to reality, I've got to keep it rеal
Nitauza ngoma soo kwa mtu tenga kumi nipate mill
Alisema akirudi ata reply
Alirudi juzi, bado haja reply
Sifuatangi maagizo, mi huzi defy
Ka Samson nazama kwa mapaja za Delilah
PS
I spit till I ain't got no saliva
And the Bible's written in Rome, printed in China
Route eleven kwa hivyo gari haina mileage
Na ni manyanga so haiwezikosa siren
Nishaivisha, wee malenge na huja ripen
Nasikia ni ndogo, hiyo nafasi naeza widen
Nasikia ni ndogo, hiyo nafasi weka hyphen
BoiBlacc and Kili once again!
Moment of Silence…
I'm not even high… I'm not high

( BoiBlacc )
www.ChordsAZ.com

TAGS :