Song: MRENGA
Artist:  Wakadinali
Year: 2019
Viewed: 75 - Published at: 5 years ago

Uuuuh, yeah yeah yeah
Kama si benzo, mrenga ni bima
Kama si benzo(Yeah yeah)

Kama si benzo(Yeah yeah)
Mrenga ni bima(Skrrt)
Akili hailali, akili hailali
Kwani iko nini?(Yeah yeah)

Kama si benzo(Skrrt)
Mrenga ni bima
East tuko down, akili hailali
Kwani iko nini? Kwani iko nini?

Kama si benzo(Kama si benzo)
Mrenga ni bima(Mrenga ni Bima)
Nairobi finesse akili hailali
Akili hailali(Akili hailali)

Kama si benzo(Kama si benzo)
Mrenga ni bima(Mrenga ni Bima)
Tuko East tuko down na akili hailali
Kwani iko nini? Kwani iko nini?
Akili hailali, akili hailali
Chapa tizi buda ni ka ni fainali
Washa jiji unga ka ni halali
Na ikibidi Uber ka sina rari(Yeah yeah)

Hii pesa ninayo ni ya mziki
Juu ya street hainitoshi
Nasepa karao, masnitch
Sijitambulishi na mikosi

Style mbichi sijai fosi
Life in crime sisi na itos
Mblein jiji tunaikoki
Gang gang chain hubidi na floss

Msupa sly ananiatuti aha
Nishagamsuka naachia mbogi
Design ka haijipi naiboza
Walai sifaidiki na hii topic

Yeah mabang'a wako paid
Lawama kwa game hii jiji ni yetu
Kuna fala alinifanya nijam 
Akaniomba msamaha na mi si Yesu

Bima ikibidi lakini
Nazozanga benz mbili na ni rental
Nina msupa hupеnda vitu ndechu
Lakini ni ya gang ni yetu
Kama si benzo(Yеah yeah)
Mrenga ni bima(Skrrt)
Akili hailali, akili hailali
Kwani iko nini?(Yeah yeah)

Kama si benzo(Skrrt)
Mrenga ni bima
East tuko down, akili hailali
Kwani iko nini? Kwani iko nini?

Kama si benzo(Kama si benzo)
Mrenga ni bima(Mrenga ni Bima)
Nairobi finesse akili hailali
Akili hailali(Akili hailali)

Kama si benzo(Kama si benzo)
Mrenga ni bima(Mrenga ni Bima)
Tuko East tuko down na akili hailali
Kwani iko nini? Kwani iko nini?

Jamaa flani juzi alitense 
Venye rent ilitry kumpiga maukapi
Nilimnyonga saa hiyo niko mabangi
Mnjoro akafaint pindi tu alimnusia armpit

Na vile nilikwa nimempigia kambi
Fuck it, manze nafeel nimewaste hiyo dhambi
Police oncoming niko like fuck it 
I just need some more few seconds
Niko mahali siwezi kubali kutoka bila anything
Juzi nilikalia mbao nikashuta 
Nimetoka prosecutor mtanikumbuka
Niliwapora mamilioni wakanishika nikazisunda
Sahii imebaki ni wao kunisuka

No faces kama warges
Ndani ya balaa clover niko missing
Straight deep undercover 
Hatupay attention hizo details

Hatuworry about hizo faba za kushikwa
Na mama mzazi hajadishi
Maana -- ka wiki jana ya black
Najua kuna siku nitajizama

Mi ni racist najulikana
But fuck it my dream 
Mwage ni ki German
So bro jua

Kama si benzo(Yeah yeah)
Mrenga ni bima(Skrrt)
Akili hailali, akili hailali
Kwani iko nini?(Yeah yeah)

Kama si benzo(Skrrt)
Mrenga ni bima
East tuko down, akili hailali
Kwani iko nini? Kwani iko nini?

Kama si benzo(Kama si benzo)
Mrenga ni bima(Mrenga ni Bima)
Nairobi finesse akili hailali
Akili hailali(Akili hailali)

Kama si benzo(Kama si benzo)
Mrenga ni bima(Mrenga ni Bima)
Tuko East tuko down na akili hailali
Kwani iko nini? Kwani iko nini?

Kama si benzo(Kama si benzo)
Mrenga ni bima(Mrenga ni Bima)
Nairobi finesse akili hailali
Akili hailali(Akili hailali)

Kama si benzo(Kama si benzo)
Mrenga ni bima(Mrenga ni Bima)
Tuko East tuko down na akili hailali
Kwani iko nini? Kwani iko nini?

Friendzone kwenye benzo
Kachimamo but ni kama kananyesha
Nairobi finesse, mboka ni mbex
Niliskia mboka ni mbex

Friendzone kwenye benzo
Kachimamo but ni kama kananyesha
Nairobi finesse, mboka ni mbex
Niliskia mboka ni mbex

Kama si hii mziki 
Ningekuwa jiji nikipona masela
Ambia judge akule mafi 
Mpaka siku tutaonana tena
Otherwise form ni kuchoma mavela
Kuchoma rada na kuchora vile
Nitapata kiki juu nilisikia siku hizi
Swagga ni kuzoza na---

Kama si benzo(Yeah yeah)
Mrenga ni bima(Skrrt)
Akili hailali, akili hailali
Kwani iko nini?(Yeah yeah)

Kama si benzo(Skrrt)
Mrenga ni bima
East tuko down, akili hailali
Kwani iko nini? Kwani iko nini?

Kama si benzo(Kama si benzo)
Mrenga ni bima(Mrenga ni Bima)
Nairobi finesse akili hailali
Akili hailali(Akili hailali)

Kama si benzo(Kama si benzo)
Mrenga ni bima(Mrenga ni Bima)
Tuko East tuko down na akili hailali
Kwani iko nini? Kwani iko nini?

Kama si benzo(Yeah yeah)
Mrenga ni bima(Skrrt)
Akili hailali, akili hailali
Kwani iko nini?(Yeah yeah)

Kama si benzo(Skrrt)
Mrenga ni bima
East tuko down, akili hailali
Kwani iko nini? Kwani iko nini?

Kama si benzo(Kama si benzo)
Mrenga ni bima(Mrenga ni Bima)
Nairobi finesse akili hailali
Akili hailali(Akili hailali)

Kama si benzo(Kama si benzo)
Mrenga ni bima(Mrenga ni Bima)
Tuko East tuko down na akili hailali
Kwani iko nini? Kwani iko nini?

Kama si benzo!

( Wakadinali )
www.ChordsAZ.com

TAGS :