Song: Mutima
Artist:  Mabudah Bway
Year: 2021
Viewed: 61 - Published at: 7 years ago

#Intro
Huuu yeee yeeeeh
Aaah aaaaah aah(eyoo Mabudah bway)
Yuh don know

#Verse
Vile vitendo na upendo baby
I can't believe it right now
Licha ya maneno na upole mwingi
Why you leave right now
Najiuliza au sikufikishi
Najiuliza au kisa shilingi
Ila kumbuka maisha yanabebwa na vingi tuu
Navingi navingi
Nilitamani nawewe wakuone juu
Ila changamoto shilingi
Mbona umeniacha mashakani,ona umeumiza roho
Moyo umepasuka hatari,,amini sio fair ivoo
I don't know why you treat me like that(like that)
You show me you don't love me like that(like that)
Kwa uchungu baby kwauchungu
Kama rungu umenipa manundu
Siyo fungu we sio fungu
Lililo fungu litaletwa na mungu
#PRE-CHORUS
Oyee yee yee yee yee yeeeh
Wee wee wee wee weeeh

#CHORUS
Umutima wange,Umutima wange (umutima )
Umutima wange,Umutima wange (umutima)
Umutima wange,Umutima wange (umutima)
Bora nikuache uendee,,Uende uendee tuu
Bora nikuache uende,Uende uendee tuu

#VERSE
I feel so bad why you go
Acha nikuimbie kawimbo
I feel so sad you leave me alone
Adhabu maumivu nyundo
Hatupo tena sale sale maua
Upendo wa kweli umeua
Pole pole nilijuwa
Kumbe haraka haraka sikujua
Nakumbuka maneno ukisema don't worry baby
(don't worry)
Hii leo umetupa kwenye shimo sikuoni baby
(sikuoni baby)
I don't know where you are now
Maana nilikupenda sikupenda kiaina
Sikuacha mbachao kwa msala upitao
Acha tu nikuchane umeyumba kiaina
When i pray for my god,I pray for yuh
(pray for yuh pray for yuh)
Umpate utaempenda,special for yuh
(Special for yuh eeeeeeeh)
#CHORUS
Umutima wange,,umutima wange (umutima )
Umutima wange,,umutima wange (umutima)
Umutima wange,,umutima wange (umutima)
Bora nikuache uendee,,uende uendee tuu
Nikuache uende,Uende uendee tuu
Bora nikuache uendee,Uende uendee tuu tu
Nikuache uende,Uende uendee tu
Uende tuuuu

( Mabudah Bway )
www.ChordsAZ.com

TAGS :