Song: Mwaya
Artist:  J 93
Year: 2021
Viewed: 35 - Published at: 10 years ago

Its a weekend basi vaa ndio tutoke maa
Haina haja kuzubaa kwa mtaa
Listen vaa watu waweze kushangaa
Uonekane tofauti baby maa
Juu mpaka chini
Top kimini
Unyunyu wa kutosha piga wanja wa jini
Kikuku mguuni
Kidoti mdomoni
Yani utanoga tabasamu usoni
Twende pande zao tukauze
Ili tukitimba na maswali wajiulize
Waka kama moto baby ili tuwaunguze
So amazing baby its crazy
Me naita UBER ngojea
Twende kwa ufukwe baby wangu kuongea
Huku taratibu na upepo wapepea
Sisi wawili yani tupo kama pear
Tucheze na michezo ya kidali
Tukimbizane pembezoni mwa bahari
Mahaba flani twende nje ya sayari
Kisha tunywe chai fulani na futari
Me nataka baby ufurahi
Upo na mimi me nataka ujidai
Presha ya nini me na wewe til i die
Dimpoz ninazo nakupenda nainai
CHORUS (GANO)
Pendeza kama vile unavyopendeza
Nami nitatupia my girl
Na hilo jicho lako kama vile lanikonyeza
Halafu unanukia my girl
Njimwaya mwaya mwaya mwayaaaaa(mwayaaa)
Unajimwaya mwaya mwaya mwayaaaa( mwayaaa)

VERSE 2( GANO)
Go baby go baby
Leo siku yako go crazy
Umependeza girl you look so amazing
Unifanya na spend bila counting
Make a body shake body bouncing
Girl you make my heart be pounding
Sisemi mimi leo
Chagua wewe kiwanja
Twende wap leo
Pande za kijanja
Go baby
Go crazy
Leo siku yako go crazy
Hey hey hey
Go baby
Go crazy
Leo siku yako go crazy
Hey hey hey
CHORUS (GANO)
Pendeza kama vile unavyopendeza
Nami nitatupia my girl
Na hilo jicho lako kama vile lanikonyeza
Halafu unanukia my girl
Njimwaya mwaya mwaya mwayaaaaa(mwayaaa)
Unajimwaya mwaya mwaya mwayaaaa( mwayaaa)

( J 93 )
www.ChordsAZ.com

TAGS :