Song: Na Wewe Rap Acoustic Version
Viewed: 60 - Published at: 2 years ago
Artist: Young Chii
Year: 2022Viewed: 60 - Published at: 2 years ago
Yeah!
It's Young Chii,Roccana..
Let me talk to you,babe..
Me ndo,Elon Musk wa mapenzi let me take you to the space..
Cna hata energy ya kukuweka kwenye bench..
Kwako nna feelings tu,Yeah unani-Impress..
En Am pretty much sure unaiskiiza hii verse..
I know,Siwezi afford Ticket ya ATCL.. (true)
Ila nna V na E baada ya O na L...... (Love)
Kwenye nyomi unaStandOut Marilyn Monroe..
Rangi flani ka umemix Bongo na Comoro..
Heartbreak hazitorudi en I can guarantee..
Na sio leo tu na kesho,future is what I see..
Nilipotoka ilikuwa mazonge visanga..
Kwaki nmefika,uhakika,MV MAPENZI imetia nanga..
Let me know what arе you thinking..
Me napendaga tu nkiona tu yo smiling
You are not bеautiful,we ni exquisite,black melanin..
Yan am out of words damn!cjui niseme nn..
Spending hours staring at your pretty eyes..
Nme-knock,nkalock door,ciwez sema bye..
Na Unavopangilia unavyoongea unanikosha..
Sio kinanda wa Mesen we ni melody isiyochosha..
Chii..

( Young Chii )
www.ChordsAZ.com