Song: NAYAWEZA
Artist:  Jayna Music
Year: 2021
Viewed: 71 - Published at: 3 years ago

VERSE:
One two go down mwokozi namsifu
Jua ndo lishachomoza acha tuianze siku
Na kama ilivyo ada nipate kifungua siku
Na Mola ameshabless acha nitimize wajibu
OK! Kila siku I pray na sidelay
Napiga goti naomba Mola afanye njia and Hey!
Shetani hudelay vya kwetu in every way
Ila Baraka ni zako tell the devil, NO WAY!!!
So mama na baba na dada na kaka
Hujakosea njia ye ni kweliu na hakika
Hakuna presha uko sawa usitie shaka
Kwa muda wake mambo yote yatanyooka

BRIDGE:
He is an awesome God, Hakika namuamini
Ana mapenzi ya kweli, na ananithamini
He is my all time kila kitu, nathubutu kila siku
Yeye hujaza mibaraka, sio mchana sio usiku

CHORUS:
Nayaweza yote, kwake mwenyewe
Anitiaye nguvu, iyeeeh
NAYAWEZA NAYAWEZA!!

Nayaweza yote, kwakе mwenyewe
Anitiayе nguvu, iyeeeh
NAYAWEZA NAYAWEZA!!

VERSE:
Ni Bwana wa MaBwana, Mwamba imara
Akisema neno hana masikhara
Sisi ni wana wake, wote kipenzi chake
Bhana mi narelax nienjoy mapenzi yake
Anastahili sifa, na heshima tu
Ni mwenye haki njooni wote tumsifu
I ain’t ashamed, He is my all time kila kitu
NIkiwa nae vya dunia si kitu
Nimeamua kumtukuza Mungu
Maana matendo yake ni matendo makuu
Kanikirimia uzima na Baraka tele
Na bado kaahidi nipa Uzima wa milele

BRIDGE:
He is an awesome God, Hakika namuamini
Ana mapenzi ya kweli, na ananithamini
He is my all time kila kitu, nathubutu kila siku
Yeye hujaza mibaraka, sio mchana sio usiku
CHORUS:
Nayaweza yote, kwake mwenyewe
Anitiaye nguvu, iyeeeh
NAYAWEZA NAYAWEZA!!

Nayaweza yote, kwake mwenyewe
Anitiaye nguvu, iyeeeh
NAYAWEZA NAYAWEZA!!

Nayaweza yote, kwake mwenyewe
Anitiaye nguvu, iyeeeh
NAYAWEZA NAYAWEZA!!

Nayaweza yote, kwake mwenyewe
Anitiaye nguvu, iyeeeh
NAYAWEZA NAYAWEZA!!

Nayaweza yote, kwake mwenyewe
Anitiaye nguvu, iyeeeh
NAYAWEZA NAYAWEZA!!

Nayaweza yote, kwake mwenyewe
Anitiaye nguvu, iyeeeh
NAYAWEZA NAYAWEZA!!

( Jayna Music )
www.ChordsAZ.com

TAGS :