Song: Ngeli Ya Genge
Artist:  Jua Cali
Year: 2008
Viewed: 84 - Published at: 8 years ago

[Intro]
Hapa tunacheza na maneno
Ngeli ni ya genge

[Verse 1]
Naandika hii verse, ka niko na njaa
Naenda kupika bila makaa
Na waita na mnakataa
Mnasema kanisa ni ya mavijanaa
Kushiba ni baada ya salaa
Kuiba nayo sikuhizi ni balaa
Utaageuzwa ki nyama makusagaa
Pika hiivi tunamanga
Sukuma, chumvi, na ka ugangaa
Chuma ngumi, teke kadhaa
Boxer vumbhi na ma makambaa
Toka nyuki asali chang'aa
Koma kumi utashangaa
Ama stima zitazimaa
Twende kwa kina Farida
Ji'eke henna kwa mafinga
[Hook]
Hapa tunacheza na maneno
Ngeli ni ya genge
Hapa tunacheza na maneno
Ngeli ni ya genge

[Verse 2]
Nataka ukae poa ka kina
Fatia, Halima na Eva
Watoto wazuri...
Ndoto nzuri huisha
Ka ume zote kabisa
Ukasanya moto ukampatia
Bahati mbaya ukashikwa
Mabati waya ukapigwa
Mashati za wanga zikaishia
Chukua zengine uanze kupima
Vua pengine ni ya Peter
Beste yangu mtu wa shida
Hii mete ni yangu wе tuliza
Onadoea ki fisi na hauja alikwa
Unapokea dishi na haijapikiwa
Chakula ni mbichi na haija ivaa
Tuma sista Eastleigh ma njivaa
Lakini chunga vilе atajivaa
[Hook]
Hapa tunacheza na maneno
Ngeli ni ya genge
Hapa tunacheza na maneno
Ngeli ni ya genge

[verse 3]
Ma mini chuja na adida
Ma G-string shuka na ma...
Mambuyu kwao ni kushangaa
Dudu zao zina amkaa
Njugu kibao wanatafuna
Mamatha huku wanashtuka
Hanya huyu utajuta
Kama sumu inaua
Maziwa iko tutakunywa
Kama njumu zinatupa
Kabisa tutakataa kuvua
Matope kila mahali panguza
Pole pole ngazi tunashuka
Pole ka kazi yasumbua
Mwisho ganji itaingia
Vitisho wangapi wataskia
Genge damu (Ehh)
California
Au sio
[Hook]
Hapa tunacheza na maneno
Ngeli ni ya genge
Hapa tunacheza na maneno
Ngeli ni ya genge
Hapa tunacheza na maneno
Ngeli ni ya genge
Hapa tunacheza na maneno
Ngeli ni ya genge

( Jua Cali )
www.ChordsAZ.com

TAGS :