Song: Nimebadilishwa
Year: 2022
Viewed: 11 - Published at: 8 years ago

Verse #1

Nilipokuwa chini, yeye kaniinuwa. Wakati wangu wa shida kanifariji

( Marvelous love )

Upendo waku shangaza

( Marvelous love)

Hmmm…

Ninaishi kwa Neema yake Mungu

Ninaishi kwa Neema

Ninaishi kwa Neema aah…

Kwa Neema, kwa Neema

Chorus:
Kwa Neema tumeokolewa, aah, aah, aah
Sio kwamatendo, bali ni zawadi kutoka kwa Mungu. Maana sisi ni kazi ya mkono wa Mungu

Verse #2

Anitiaye nguvu mimi ni Yesu Christo, muhumba wa mbingu na inchi ( nguvu zangu zatoka kwake )
Nimetolewa mavumbini mimi
( kwa neema)

Nilikuwa mbaya nikitenda mabaya

Kanitowa ubaya nikawa mzuri ili niuridhi ufalme wa Mbinguni

Nimekombolewa kwa Neema yake bwana

Chorus:

Nimebadilishwa kwa Neema, nimefanywa upya kwauruma zake

Nimewekwa huru
Yeye ni Mungu
Atupae nuru
( Nuruuu )

Verse #3
Nuru x2 uh-u-u

Hacha walimwengu wani shange hee, nime oko lewa na yule shujaha, Simba wa yuda

Nijapo pita kati ya bonde la uvuli la mauti Sita ogopa kabisa maana ni naye Mungu
Ninaye baba, baba aaa

Kwane neema nime okolewa, kwa neema aaa

Chorus:

Kwa Neema tumeokolewa, aah, aah, aah
Sio kwamatenda, bali ni zawadi kutoka kwa Mungu. Maana sisi ni kazi ya mkono wa Mungu
————
Nimebadilishwa kwa Neema, nimefanywa upya kwauruma zake

Nimewekwa huru
Yeye ni Mungu
Atupae nuru
( Nuruuu )

( Vijana Wenye Nguvu )
www.ChordsAZ.com

TAGS :