Song: Properly
Year: 2021
Viewed: 50 - Published at: 4 years ago

Properly Lyrics
Hallo! (Cedo) Hallo!
Kama we ni mwenyeji (Mmmh mmh)
We ni mwenyeji (Hallo)
Kama we si mwenyeji (Mmmh mmh)
Mind your business

Ka unataka ule anaichapa mpaka ilale
Basi harakisha njoo na
Nyumba inanukia shasha money
Usitume nini kwa floor na

Msupa ako mood ya ladha gane
Tunaeza enda fasta au slow baby
Naiva nikiskia ma Bob Marley
Nikitafta plan ya doh, yeah

Hatuanzishi vita tunamaliza
Nani ukiniita tuma mamita
Hao ma lip syncher wanawaingiza
Napanda stage ju naona miujiza
Originator, baba wa keja
Wananitii wananiiga
Nilikuwa nachoma mpaka kwa filter
Ka bado uko ushago, hallo

Life iko order
Mpaka ukweli inasound unachocha
Vile naifanya sio hoja
Huku East si ni si tunazoza
Tunaifanyanga, proper (Proper)
Proper (Proper) Properly
Tunaifanyanga, proper (Proper)
Proper (Proper) Properly
Tunaifanyaga

Sikudai number 2 wakanichuja daro
So nikajenga shule wajе walipe karo
Sai mi ndio speaker Frank Olе Kaparo
Matutor zinapiga ki Usman Kamaru

Kwa fam ya kipunk sikutoka
So fam ya kipunk itatoka kwa mimi
Amini ni jasho na damu zinatoka
Nikiroga hii injili naitreat kama dini

Sai ma divai zinakuja na mzinga
Wananidai na ni juzi waliringa
Mungu akisense unajua huwezi pinga
Odds ziko right mi sichezi na tinga
Okay! Ki Femi kijembe kikali
Bila budi inabidi wakubali
Watajali ujue nani hakujali
Hii maisha ni kali naichase na makali

Life iko order
Mpaka ukweli inasound unachocha
Vile naifanya sio hoja
Huku East si ni si tunazoza
Tunaifanyanga, proper (Proper)
Proper (Proper) Properly
Tunaifanyanga, proper (Proper)
Proper (Proper) Properly
Tunaifanyaga

Guess nani ako in the zone (Aje)
Na anafeel right at home (Aje)
Utajua nilikuwa kwa chuom (Aje)
Na harufu ya cologne (Ssaru)

Na sijawahi kosaga form (Sare)
Last year niliuza maphone (Sare)
Jana niliota naperform (Sare)
Na kabla ya kuota niliperform huh

Short na uliknow kwa cliff
Kabla ujue mambo ya drone
Blunder imejaa na Keith
Nadry ni ka na clone
Mkiuliza nana ni gwiji hapa
Mi naskianga ka mnanikosea heshima
Hamwezi nipima, hamwezi nizima
Na nimeingia naskia wananiambia?

Life iko order
Mpaka ukweli inasound unachocha
Vile naifanya sio hoja
Huku East si ni si tunazoza
Tunaifanyaga, proper (Proper)
Proper (Proper) Properly
Tunaifanyanga, proper (Proper)
Proper (Proper) Properly
Tunaifanyaga

Life iko order
Mpaka ukweli inasound unachocha
Vile naifanya sio hoja
Huku East si ni si tunazoza
Tunaifanyaga, proper (Proper)
Proper (Proper) Properly
Tunaifanyanga, proper (Proper)
Proper (Proper) Properly
Tunaifanyaga

( Nyashinki and femi one )
www.ChordsAZ.com

TAGS :