Song: Slay King Remake Vitu Sipendi
Viewed: 29 - Published at: 2 years ago
Artist: Davy Kamanzi / DVK
Year: 2021Viewed: 29 - Published at: 2 years ago
[Intro]
Ehen, DVK
(S'Bling on the track)
This one's for all my slay kings doing their thing out here in Nairobi, man
Watu wa kuchukua Uber na si Umoinner
Watu wa kudishi Kempinski, not kibandaski
Ayy
[Chorus]
(Ehen) Nganya (ayy), wezi (ayy)
Panya (ayy), deni (Ehen)
Hizo ndio vitu sipendi (Hizo ndio vitu sipendi)
Piga (ayy), densi (ayy)
Sitaki (ayy), penzi (ayy), shenzi (My fren)

[Verse 1]
Mi na ma-bro tuko rieng (tuko rieng), tuko ma-drinks na mayeng (Na mayeng)
Kuna mmoja ameninoki (ayy), anadai mjulubeng (Ehen)
Lakini mi niko hungry, mi nasaka tu msosi
Options ni mchezo (Ai!) Kumbe Kevo si mdosi
Ati migingo na teargas (Ah!) Hizo ni nini? (Hizo ni nini?)
Leta maharagwe na pasta (ayy), na soda mbili
Juzi niliona dem akidarwa (Ah?) Huko jijini (Huko jijini?)
Wanashangaa ati nani ananyamba? Buda si mimi (Buda si mimi)

Sitaki (ayy), pеnzi (ayy), shenzi (My fren)
Hizo ndio vitu sipendi
[Verse 2]
Ni wikеndi (ayy), tunaenda party (Ayy)
Kila mtu ako barley (Ayy)
Shawty (ehen), leta nare (Ayy)
Washa ngem hapo ndani (Ayy)
DVK (ehen), flows kibao, lazima (Ayy)
Hizi line nizi-ration (My fren)
Wekwa chobo, pigwa bare kama Rachel
Rachel, Rachel (Ehen)
[Chorus]
Nganya (ayy), wezi (ayy)

( Davy Kamanzi / DVK )
www.ChordsAZ.com