Song: Thamani
Year: 2020
Viewed: 79 - Published at: 9 years ago

[Verse: Young Lunya]
Oh she’s so fly, noma
Turn it up, all night
Kashanipa homa kinoma noma
So fly, oh my
Turn it up, all night
Kashanipa homa kinoma noma
Anaonekana mpole yeah
Hapendi hata kuongea
Ana macho ya kulegea
Madogo kama mkorea
Ananifanya nidate
Niwake niwake nimfate
Macho ya watu wote yapo kwake
Nataka awe wangu niwe wake oh yeah
Kwa kuwa mi ni chata chata na nawaka waka
Nikaleta umaster nikamfata fata
Kiuno chake anavyokata kata nikikikamata mambo shata shata

[Hook: Barakah The Prince]
[Verse: Salmin Swaggz]
So baby girl japo niko na meno makali I don’t bite
Tangu umeingia ndani unajua you’re mine, right
Malaika wa ajabu umeshushwa na almight
So nageuka nyuma nakuangalia nathrow ice
Bonge la smile natupa kule ustar
Piga mastyle mpaka mwenyewe utajuta
Nshaweka mabaunsa yeyote atayegusa
Napasua kichwa wazee washanipa ruksa
Hapo, macho yamegota kwako
Waambie na mademu wenzako
Kwamba ushampata wako
Najipa moyo japo, bado unaleta mnato
Hutaki kusikia nisemacho, unajibu mikato na mi ndo nishatoa macho
Mpaka ndani umenigusa, nimependeza mpaka unaniona kipusa
Leo tukitoka utaja shtuka ni saa mbili
Kwani unaenda wapi wakati ni kesho jumapili, what’s up

[Hook: Barakah The Prince]

( Dj Seven Worldwide )
www.ChordsAZ.com

TAGS :