Song: Uboya
Artist:  Datty Tz
Year: 2022
Viewed: 50 - Published at: 6 years ago

#Intro
U uhhhhh
Aaahhhhhh
Kazuu Vibe

#Verse
Eti simu zangu huzioni
Inamaana umefumbaa macho
Masikio usikii uonii
Sawa unanidharau sana darling
Mbona unapitiliza unapiga
Bila kujali yangu halii
Eti umehamia kabisa
Ata uso wangu nauficha mambo gani
Yakufichuana ficha moyo wangu uhhuuu
Mzaha mzaha imekuwa share
Shemu shemu imekuwa fine asijali
Yatakuwa sawa rafiki yangu uuuhh

#chorus
Uo uboya kakudanganya atakuoa ah wapi
Uo uboya bora ungeniuliza mimi namjua
Muongo uyo uo uboya
Kakudanganya atakuoa ah wapi
Uo uboya Sitaki kuamini mimi no!no!no!
Urafiki gani wa uongo ngo
#instrumental
#verse 2
Mery upo wapi mama alichonitenda hawa
Siungwana bhana,Kumbe zile out zilimtoa roho
Mbona sikumtenga twaenda nae show
Kumbe moyo moyo anasema ngoja ngojaa
Nakuta status kampost Nicco
Nikasema niende nawakuta woote
Niulize nikafukuzwa toka tokaa
Eti umehamia kabisa
Ata uso wangu nauficha mambo gani
Yakufichuana ficha moyo wangu
Mzaha mzaha imekuwa share
Shemu shemu imekuwa fine asijali
Yatakuwa sawa rafiki yangu uuuhh

#chorus
Uo uboya kakudanganya atakuoa ah wapi
Uo uboya bora ungeniuliza mimi namjua
Muongo uyo uo uboya
Kakudanganya atakuoa ah wapi
Uo uboya Sitaki kuamini mimi no!no!no!
Urafiki gani wa uongo ngo
Sitaki kuamini mimi no!no!no!
Urafiki gani eheeheeheee
#instrumental

( Datty Tz )
www.ChordsAZ.com

TAGS :