Song: Unavailable
Year: 2021
Viewed: 54 - Published at: 7 years ago

[Verse 1]
Finally your love has come to me
We were meant to be
I was looking forward to kisses and anniversaries
Talk to me.. tell me what you need
I just keep on falling for you your love is gravity

[Pre Chorus]
I need your smile I need you laughter
Unanipa me furaha kila kitu nisha pata
Kwako.. na kuna Wengi wanataka
Kuona niki kuacha nimewa zimia data
Nimebadili ukurasa

[Chorus]
Na wasichana wanao nitafuta (am unavailable)
Poleni sana leo nitawa angusha (am unavailable
Ka mme sahau me ntawakumbusha (am not available)
And btw me niko na msupa chupaaa (am on airplane mode)

[Verse 2]
Asante sane ata tuki kosana
Bado twa elewana
And thats why I love you
We understand each other
Sweetheart of mine
I wanna make sure you're alright
I never wanna do you no crime
I wana know whats on your mind
[Pre-Chorus]
I need your smile I need you laughter
Unanipa me furaha kila kitu nisha pata
Kwako.. na kuna Wengi wanataka
Kuona niki kuacha nimewa zimia data
Nimebadili ukurasa

[Chorus]
Na wasichana wanao nitafuta (am unavailable)
Poleni sana leo nitawa angusha (am unavailable
Ka mme sahau me ntawakumbusha (am not available)
And btw me niko na msupa chupaaa (am on airplane mode)

[Bridge]
Butterfly in your eyes
Am alive I can fly (×2)

( Ethan Muziki & Watendawili )
www.ChordsAZ.com

TAGS :