Song: Valentine Day
Artist:  Omary Kopa
Year: 2021
Viewed: 59 - Published at: 3 years ago

Ahaaaaaahhaaa
Ohoohhoooooohhhh

Hebu toka hadharanii
Mpenzi nikupe hai
Habibi nuril lain
Kukukera haitokei
Hebu toka hadharanii
Mpenzi nikupe hai
Habibi nuril lain
Kukukera haitokei

Kwani umenipa nini ?
Mpaka nikawa hoi
Wengine mimi wa nini
Penzi kwako na enjoy
Kwani umenipa nini ?
Mpaka nikawa hoi

Wengine mimi wa nini
Penzi kwako na enjoy
Mtoto wa visiwani
Mzurii aaaah najidai
Nikupe zawadi ganii?
Leo velentine day
Mtoto wa visiwani
Mzurii aaaah najidai
Nikupe zawadi ganii?
Leo velentine day
Ahaaaaaaaaaaahhh

Anaheshima jamani
Sikahba halisogei
Tukikutana mwandani
Huniamkia chechei
Anaheshima jamani
Sikahba halisogei
Tukikutana mwandani
Huniamkia chechei

Anachovaa mwilini
Huwa hakimkatai
Macho yake malaini
Wala kungu hatumii
Anachovaa mwilini
Huwa hakimkatai
Macho yake malaini
Wala kungu hatumii

Ni kamaa nurl laini
Peponi wanaojidai
Anafanana na nani
Yoyote hamuuingii
Ni kamaa nurl laini
Peponi wanaojidai
Anafanana na nani
Yoyote hamuuingii
Ahaaaaaaaaaaahhh

Oohhooohhhhhhh

Mmeshasema zamanii
Mbona hamuendeleei
Na matusi ya nguonii
Mlitutukana wallah
Mmeshasema zamanii
Mbona hamuendeleei
Na matusi ya nguonii
Mlimtukana wallah

Uyo mwanaamke ganii
Kupendwaa yeye hafaii
Mie namuoona queen
Mrembo aloo kinai
Uyo mwanaamke ganii
Kupendwaa yeye hafaii
Mie namuoona queen
Mrembo aloo kinaiii

Akiingia mapishinii
Mimi chaa akiepuii
Hunipa ndizi mainii
Natoezea na chaii
Akiingia mapishinii
Mimi chaa akiepuii
Hunipa ndizi mainii
Natoezea na chaii
Hunipa ndizi mainii
Natoezea na chaii
Anfanana na nani
Yoyote hamuuingii
Nikupe zawadi gani
Leo valentinee day

( Omary Kopa )
www.ChordsAZ.com

TAGS :