Song: WATAKUUMIZA
Artist:  Elja Eks
Year: 2021
Viewed: 14 - Published at: 4 years ago

Ozay Bitch
Ice Sengen
Watch Gang. Watch Young Gang

[Verse 1: ICE sengen]
Unaye Mwamini Anaweza Kukuacha
Unaye Mpenda Anaweza Kukuacha
Maisha Ni Siri Hakuna Waku Yelewa
Ila Ninachotaka Tu Kukwambia
We Pambana Utafika Kwenye Ndoto
Utafika Kwenye Ndoto
Kuna Wakati Watu

[Bridge]
Watakuumiza X8

[Verse 2: Elja]
Ngoja Kwanza. Jiangalie
So Kila Kikaacho Ni Dhahabu
Unao Wapenda Wawo Awakupendi
Unao Watakia Mazuri Wawo Ni Mabaya Tu
Ya Layali Ya Layala
Wanatamani Sana
Kukufanizia Mabaya Tu
Furaha Yao Nikukuona We Uteseke
Furaha Yao Wawo Walele
[Bridge]
Watakuumiza X8

( Elja Eks )
www.ChordsAZ.com

TAGS :