Song: Zaidi Ya Rap
Year: 2012
Viewed: 90 - Published at: 6 years ago

[Verse 1: Salmin Swaggz]
Miaka sita kwenye game and I still survive
Kuna other rappers kwenye game wanatest the drive
And I got that circle on my name and we stay alive
Them other rappers wanadream about getting this love
Maisha ni hustle when you don't know nothing
I'm just good at something
These rappers only notice money, beat-boxing and rapping
Wanapima utajiri counting these bottles we poppin'
Na story zimejiri down with them photos we're flashin'
Wagonjwa wanakufa hospitali, nobody notice
Watu wana pombe kali they be like you know we know this
Mapenzi yalianza tangu kale, now we don't choose it
Watu wanaombaomba pale and these rappers say move it
I'm trynna reminisce how I live the life that I'm in
I'm on my 20s they around like you know what I mean
Wachache wenye akili asking where the hell I was been
I never wanted no Kili, I let it be like...

[Hook]
What I rap zaidi ya mechi Simba-Ismailia
(Wanga walinifumba macho but I'm still right here)
What I rap zaidi ya mechi Simba-Ismailia
(Nahisi mnachotaka nnacho na ndo mnachokiskia)
And be like...and be like
And be like...and be like
[Verse 2 : Hood C]
Lawama si salama, huleta uhasama
Karama za akina mama ni undama usipende sana
Hama, ili ucross kuitwa "Big Boss"
Ukinitazama kwa njama, West na East coast
Penda panda pea, tazama unakoelekea
Dandia star icon, Hip-Hop ni fair
Tengeneza yako weapon, homie don't be scared
Share, kuziepuka dhambi jongea aah
Jarida maridhawa upendo wa Jah power
Natoka ZT, sio Dakawa
Hood bongo boy, jarida ni AFRICAN
Real mfano wa JCB the Black Taliban
Nakufundisha nikasomwe poa
Kaa kona itakayoridhisha ukatoboa fresh
Dunk lyrical call your God
Yatende yalo mazuri kuwa close na lord, and be like

[Hook]
What I rap zaidi ya mechi Simba-Ismailia
(Wanga walinifumba macho but I'm still right here)
What I rap zaidi ya mechi Simba-Ismailia
(Nahisi mnachotaka nnacho na ndo mnachokiskia)
And be like...and be like
And be like...and be like
[Verse 3]
[Hood C]
Get up son hii saa ni ya kutubu
Adhabu ni hot mzima kiziwi mpaka bubu

[Salmin Swaggz]
Talk to your lord bado unahema wanakuhusudu
So fanya mema ka iliandikwa utaepuka sulubu

[Hood C]
Majedwali tatua kipindi unapokua
Habari yako tambua, kiundani ask be sure

[Salmin Swaggz]
Tambua utata kabla hawajatatua
But I know together tutasmama mjinga asiweze kutuua
Then be like...

( Salmin Swaggz )
www.ChordsAZ.com

TAGS :