Artist: Arrow Bwoy
Lyrics of Artist: Arrow Bwoy
  1. [Lyric] Niache Niende (Arrow Bwoy)

    Si nilikuambia Ulinihukumu vibaya Ukaamini walichosema wao Ukanitoa kafara Ni kama ulisubiri nifeli Maria Ukaona sitegeki ukoanisingizia Ni kama ulisubiri nifeli Maria Ukaona sitegeki, ukaona sitegeki Nasema nielewe we! Dunia niliona chungu Sikujua wapi pa kupapasa Ukasema kitabu Kimefika mwisho wa ukurasa Nikuache, nikuache uende Nikaona nikuache...Learn More
    popArrow Bwoy