Song: Niache Niende
Artist:  Arrow Bwoy
Year: 2020
Viewed: 2 - Published at: 6 years ago

Si nilikuambia Ulinihukumu vibaya
Ukaamini walichosema wao Ukanitoa kafara
Ni kama ulisubiri nifeli Maria
Ukaona sitegeki ukoanisingizia
Ni kama ulisubiri nifeli Maria
Ukaona sitegeki, ukaona sitegeki
Nasema nielewe we! Dunia niliona chungu
Sikujua wapi pa kupapasa
Ukasema kitabu Kimefika mwisho wa ukurasa
Nikuache, nikuache uende
Nikaona nikuache (Nikuache)
Nikuache uende
Wewe basi niache (Niache)
Ai! Mbona unanifuata Ghafla umenimiss (Niache)
Ulichokifuata hukupata Mungu kanipa mimi
Yelele mama, yelele mama ni yanguu
Yelele mama, yelele mama... (Oh bizze)
Huna moyo wa kupenda
Lbilisi shetani manyaku nyaku
Oh Nyota imezima
Zimefika ukingoni mbio za sakafu
Oooh nakuchukia Ulivyoniacha panda njia
Sasa unakumbuka zangu fadhila
Unarudi unalia Oooh tena najutia
Mbona mwanzo mi nikakuzimia
Nakumbuka mama akiniambia Unapuliza gunia
Hizi mida ni za popopo
Nyumbani nina totototo
Tena ni wa motototo
Anasubiri kunipa jotototo
Si mafungu saba
Kama sio yangu sitong'ang'ania
Mimi nani nibishe
Nimbishe Mola
Nasema nielewe we! Dunia niliona chungu
Sikujui wapi pa kupapasa
Ukasema kitabu Kimefika mwisho wa ukurasa
Nikuache, nikuache uende
Nikaona nikuache (Nikuache)
Nikuache uende
Wewe basi niache (Niache)
Ai! Mbona unanifuata Ghafla umenimiss (Niache)
Ulichokifuata hukupata
Mungu kanipa mimi Nikuache
Muache, Muachie uende
Nikaona nikuache (Nikuache) Nikuache uende
Wewe basi niache (Niache)
Ai! Mbona unanifuata Ghafla umenimiss (Niache)
Ulichokifuata hukupata Mungu kanipa mimi
Tell me why your love gonna be this bad
Tell me why your love gonna hurt bad
Tell me why your love gonna be this bad
This bad, oh this bad tell me why your love gonna be this bad
Tell me why your love gonna hurt bad
Tell me why your love
Tell me why your love
Ooh yeah
Share

( Arrow Bwoy )
www.ChordsAZ.com

TAGS :