Artist: Blessed Paul
Lyrics of Artist: Blessed Paul
  1. [Lyric] Moyo Wangu (Blessed Paul)

    Kuna maneno ya uzima, nimesikia Kando ya kisima, cha Yakobo Kama ungalinijua mama, ungeniomba Yangu ya uzima, shida zako ni ndogo Mmmh Ayanywaye maji haya, suluhisho ya muda Ila ayanywaye ninayo toa, hataona kiu tena*2 Moyo wangu tulia Tulia kwa Bwana Usifadhaike maana Bwana yuko nawe Ona kijito cha tiririka, toka enzini Hapo kando umenipanda,...Learn More
    popBlessed Paul