Song: Moyo Wangu
Artist:  Blessed Paul
Year: 2021
Viewed: 14 - Published at: 6 years ago

Kuna maneno ya uzima, nimesikia
Kando ya kisima, cha Yakobo
Kama ungalinijua mama, ungeniomba
Yangu ya uzima, shida zako ni ndogo
Mmmh
Ayanywaye maji haya, suluhisho ya muda
Ila ayanywaye ninayo toa, hataona kiu tena2

Moyo wangu tulia
Tulia kwa Bwana
Usifadhaike maana
Bwana yuko nawe

Ona kijito cha tiririka, toka enzini
Hapo kando umenipanda, daima mbichi kijani
Wakati wa kuzaa na uso wa kuzaa mimi nitazaa matunda mema
Nitaingia mtaa na ujube ya kuwa, nimempata hasiyebadilika
Njoni nyote mnywe maji, kwa maji haya
Mavazi yakifuliwa, yanatakata2

Moyo wangu tulia
Tulia kwa Bwana
Usifadhaike maana
Bwana yuko nawe
Wakati wa kuzaa na uso wa kuzaa mimi nitazaa matunda mema
Nitaingia mtaa na ujube ya kuwa, nimempata hasiyebadilika2

( Blessed Paul )
www.ChordsAZ.com

TAGS :