Artist: Harmonize
Lyrics of Artist: Harmonize
  1. [Lyric] Niambie Lyrics (Harmonize)

    Mujini Kipenzi, Silani Shilingi baby Kupendana zamani ndo wanavyosemaga Wazuri ni wengi, ila uongo mwingi baby Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga Ndo maana Ukichelewa dukani, mie kamoyo kananidundaga Nawaza asije mangi jirani, akakuonga kilo ya unga aah [Hook/Chorus] Oooh Mbaya zaidi sina kazi, nakosa senti tano ya kipande Bora nikuweke...Learn More
    popHarmonize
  2. [Lyric] Mwaka Wangu (Harmonize)

    [Intro] Yaw-yaw Jeshii La-la-li-la-la, mmh, la-la-la Chiiii Eeh [Verse 1] Ni mwaka mpya mambo mapya sina dhambi nimetubu Na pesa ntazichanga change nizijaze kwa kibubuu Japo hata kakibanda nikajenge huko pugu Maana nyumba za kupanga nishazichoka vurugu Eti kwani wao waweze wana nini (Mmmh) Na mimi nishindwe nina nini Nishachoka siku zote kuwa wa...Learn More
    popHarmonize