Artist: Mr. Lash
Lyrics of Artist: Mr. Lash
  1. [Lyric] Hawatuwezi Feat. DON Badman Killa SANTO x Jilly Beatz (Mr. Lash)

    ~ Jilly Beatz ~ Oooh... Baby mi nakupenda Baby mi nakupenda ~ Mr. Lash ~ Ey Nahisi kama vile we ni Sita na mi ni Ram Mafisi vile wanaleta vita utadhani Ramayan Na wako busy wanazua visa, hawa binadam Machizi vile wanapitapita kweli hii ni mitihani Ey Na Waga sina raha Nikikosa tabasamu lako mapozi na vile wanikiss kiss Tumetoka far Nakosa kabisa...Learn More
    rapMr. Lash