Song: Hawatuwezi Feat. DON Badman Killa SANTO x Jilly Beatz
Artist:  Mr. Lash
Year: 2021
Viewed: 54 - Published at: 4 years ago

~ Jilly Beatz ~
Oooh... Baby mi nakupenda
Baby mi nakupenda

~ Mr. Lash ~
Ey
Nahisi kama vile we ni Sita na mi ni Ram
Mafisi vile wanaleta vita utadhani Ramayan
Na wako busy wanazua visa, hawa binadam
Machizi vile wanapitapita kweli hii ni mitihani

Ey
Na Waga sina raha
Nikikosa tabasamu lako mapozi na vile wanikiss kiss
Tumetoka far
Nakosa kabisa hamu ya msosi vile nakumiss miss
Ninawashangaa
Hawa binadamu wanaleta goz goz daily wanadiss diss
Tena nitatabasamu siku ya harusi vile wengi tutapiss piss

~ Jilly Beatz ~
Kutwa wantuwinda, Mpenzi
Watasema mchana, usiku watalala
Maneno yao watashindwa, Hawawezi
Watasema mchana, usiku watalala
~ DON SANTO ~
Nimewahi kushikilia wengine hapo awali, Lakini haikuwa kama hii, Your the one I love
Ambapo mwili wangu unakuvuta
Na watetemeka kwa neema
Ambapo hisia zangu zinahangaika
Kutoka kwa nguvu ya hamu

Aram tapa tapa you're my best friend, finest
My darkness turns into brightness
My sadness turns into happiness

Mmh
You’re my lover;
My one and only;
I love you! I love you! I love you! I love you! Eeeiy!

~ Jilly Beatz ~
Kutwa wantuwinda, Mpenzi
Watasema mchana, usiku watalala
Maneno yao watashindwa, Hawawezi
Watasema mchana, usiku watalala

~ Mr. Lash ~
Acha walete compe
Watapatana na makofi kibao, na fimbo za Bamboo
Tucheze Alous Mabele
Samba mapangala, Kofi, Defao, na nyimbo za Madilu
Na Usiskize matajiri, hili swala la mahaba waeza niita pia mi Kassim
Wasikuchezee akili, mbona sisi twala ama labda pesa ya pizza kwetu ni adim

Wanasema umepanda bei
Tattoo mwilini wachora tu za bae
Mambo yatajipa twende holiday
Sema we ni wangu Sanaipei

~ Jilly Beatz ~
Kutwa wantuwinda, Mpenzi
Watasema mchana, usiku watalala
Maneno yao watashindwa, Hawawezi
Watasema mchana, usiku watalala

( Mr. Lash )
www.ChordsAZ.com

TAGS :