Artist: SABAH SALUM
Lyrics of Artist: SABAH SALUM
Lyrics of Artist: SABAH SALUM
[Lyric] Acha wee taarab (SABAH SALUM)
Utapanda na kushuka na watu kunitumia Utapanda na kushuka na watu kunitumia Bure utafedheheka na aibu kujitia Bure utafedheheka na aibu kujitia Najuwa najuwa unanitaka moyoni Moyoni unaumia Najuwa najuwa unanitaka moyoni Moyoni unaumia Ukweli wangu hakika Ukweli wangu hakika Ukweli wangu hakika Wewe hujanivutia Acha wee Acha wee Acha wee Suti...Learn MorepopSABAH SALUM[Lyric] Munani nami viumbe (SABAH SALUM)
Salamu nimezipata ulotuma kunambia Salamu nimezipata ulotuma kunambia Nasikia wajinata Leo utanitambia Lakini utanikuta Sabaha nakungojea Lakini utanikuta sabaha nakungojea Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu Wewe kuku...Learn MorepopSABAH SALUM