Song: Munani nami viumbe
Artist:  SABAH SALUM
Year: 2022
Viewed: 40 - Published at: 10 years ago

Salamu nimezipata ulotuma kunambia
Salamu nimezipata ulotuma kunambia
Nasikia wajinata Leo utanitambia
Lakini utanikuta Sabaha nakungojea
Lakini utanikuta sabaha nakungojea

Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu

Wewe kuku wewe kuku chakula chako jaani
Wewe kuku wewe kuku chakula chako jaani
Mimi njia mimi njiwa huletewa mikononii
Kama hujui uliza mimi nawe bora nani
Kama hujui uliza mimi nawe bora nani

Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Mahali ukichukizia huzuka kila mazuo
Mahali ukichukiza huzuka kila mazuo
Huzidi na miujiza kusudi uvunjwe cheo
Japo wajipendekeza katu huwi mtu kwao
Japo wajipendekeza katu huwi mtu kwao

Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu

Ni bure hamunipati mbio mukaniendea
Ni bure hamunipati mbio mukaniendеa
Mtakufa na laiti uku mkinishuhudia
Nimewashinda bahati ndipo mkanichukia
Nimewashinda bahati ndipo mkanichukia

Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbе mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu

Dunia yetu ya leo si ya watu kusemana
Dunia yetu ya leo si ya watu kusemana
Kila alie na lake aombe Rabbi salama
Kama langu limetota na lako wewe litazama
Kama langu limetota na lako wewe litazama
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu

Mtu akitaka sema kwanza hutizama lake
Mtu akitaka sema kwanza hutizama lake
Akazunguka na nyuma kutizama yalokwake
Hainuki kusimama kutangaza ya mwenzake
Hainuki kusimama kutangaza ya mwenzake

Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu

Mwafanya muyatakayo mimi sisemi ya mtu
Mwafanya muyatakayo mimi sisemi ya mtu
Yangu yafata mbio komeni roho za kutu
Kwanza safisheni nyoyo kisha mseme ya watu
Kwanza safisheni nyoyo kisha mseme ya watu

Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Sijali mimi sijali maovu mkinitangaza
Sijali mimi sijali maovu mkinitangaza
Ni mambo tangu akali si mwanzo kujitokeza
Najua msema kweli kwa wengine huchukiza
Najua msema kweli kwa wengine huchukiza

Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu

Nina neno ndugu zangu nawaeleza sikizeni
Nina neno ndugu zangu nawaeleza sikizeni
Kutangwa jina langu kwa uzushi mtaani
Hamnitii machunguu walakwangu si magenii
Hamnitii machunguu walakwangu si magenii

Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu

Ukitaka jenga nyumba ukajengee mjini
Ukitaka jenga nyumba ukajengee mjini
Nadirisha na dirisha ulielekeze kusini
Hauna nywele kichwani sasa chanuo la nini
Hauna nywele kichwani sasa chanuo la nini

Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu

( SABAH SALUM )
www.ChordsAZ.com

TAGS :