Artist: Shark D
Lyrics of Artist: Shark D
  1. [Lyric] 2025 (Shark D)

    Nikama ndoto kumbe ukweli umeondoka Umepigana vita kali mabepali wakaondoka Hukuogopa kuyasema ya moyoni Tanzania imepata pengo kuliziba ni kama skendo Tuliamini chato itatoboa wilaya mpaka mkoa Ila leo wanaisodoa pia wanaitia doa Ulivyolala wameilaza kilichobaki nikuisambaza Madini wakapiga uliowaamini kwenye siasa Umeondoka we jasili...Learn More
    rapShark D