Song: Asilimia 100
Artist:  Rodjazz
Year: 2022
Viewed: 14 - Published at: 2 years ago

Song Title: Asilimia 100

Verse One

Mapenzi ni kitendawili
Na wewe ndo jibu la kutegua
Niliumizwa mi nikakata tamaa
Moyo wangu waliurarua
We ndo suluhu ya uchungu wangu
Kuwa wa pekee yangu
Mkono wangu shika moyo chukua
Milele huonekana muda mrefu
Ila kwetu ni siku moja
Kwa maisha yangu nimekuchagua

Chorus

Nakupenda (wewe aah ah x3)
Asilimia 100
Nakupenda (wewe aah ah x3)
Asilimia 100
Verse Two

Hamu yangu nikukabili
Ugumu wa maisha nikiwa nawe
Najua siku nitakufa
Ila sitojuta kuwa nawe
Moyo wangu ni wako
Nimekukabidhi we
Mali zangu ni zako
Sitompa mwingine

Chorus

Nakupenda (wewe aah ah x3)
Asilimia 100
Nakupenda (wewe aah ah x3)
Asilimia 100

Bridge

Kuanzia leo hii
Nitakulinda
Kukutunza hadi kifo uuh
Nitakuheshimu
Nakukuoenda mmh
Ninakuoenda
Parara para…
Parara parara para…

( Rodjazz )
www.ChordsAZ.com

TAGS :