Artist: Rodjazz
Lyrics of Artist: Rodjazz
  1. [Lyric] Asilimia 100 (Rodjazz)

    Song Title: Asilimia 100 Verse One Mapenzi ni kitendawili Na wewe ndo jibu la kutegua Niliumizwa mi nikakata tamaa Moyo wangu waliurarua We ndo suluhu ya uchungu wangu Kuwa wa pekee yangu Mkono wangu shika moyo chukua Milele huonekana muda mrefu Ila kwetu ni siku moja Kwa maisha yangu nimekuchagua Chorus Nakupenda (wewe aah ah x3) Asilimia...Learn More
    rbRodjazz
  2. [Lyric] Rudi (Rodjazz)

    Song Title: Rudi Verse One Zama zile nipo nawe Sikutaka kukukumbuka Ulifight kwa kila mbinde mi bize bize bize Singizia kazi nikatupa penzi kule Ukatokwa chozi kwa kutaka penzi lisipotee Now I’ve realised What goes around comes back around Maamuzi nliyofanya mimi nayajutia, oh Chorus I miss you Come back to me Rudi oh please come back to me I...Learn More
    rbRodjazz
  3. [Lyric] Upo Moyoni (Rodjazz)

    Song Title: Upo Moyoni Verse One Hivi bado unafikiria Vile vyote tuliweka rehani Ili mapenzi yetu yaendelee (Ili mapenzi yetu yaendelee) Hivi bado waniwaza mimi Au basi tena sipo moyoni Huenda hauniwazii tena (Tena tena) Ooh, kila siku baby nakuwaza Huenda mpenzi haunitaki tena Daily nakuwaza (nakuwaza nakuwaza) Ooh, kila siku baby...Learn More
    rbRodjazz
  4. [Lyric] Barua Ya Mapenzi (Rodjazz)

    Song Title: Barua ya Mapenzi Verse One Vile tulizamia Kwenye bahari ya huba Haikuwa rahisi mmoja wetu kuibuka Ghafla imepigwa fimbo ya Musa Mimi Misri wewe Kaanani Wewe asali na maziwa Mimi huku taabani Moyo umejawa giza Furaha naisaka kwa tochi We samaki umenimeza Kutoka kwako hadi Ninawi ooh Chorus Ifungue kwa busu Ni yako inakuhusu Sikuwa na...Learn More
    rbRodjazz
  5. [Lyric] Oksijeni (Rodjazz)

    Song Title: Oksijeni Verse One Kama jua kuwaka kati ya usiku Ilivyokuwa haiwezekani, ndivyo ilivyo kwangu Kujifanya nimesahau kila kitu Wakati sura yako ndiyo Naiona nikifumba macho Bado nakupenda Moyo wangu unao Wewe ni kila kitu kwangu Mbali huko uliko Pumzi yangu unayo wewe Nakupenda Chorus Bado maswali ni mengi lakini poa Nitakuwa...Learn More
    rbRodjazz