Song: Barua Ya Mapenzi
Artist:  Rodjazz
Year: 2022
Viewed: 14 - Published at: 4 years ago

Song Title: Barua ya Mapenzi

Verse One

Vile tulizamia
Kwenye bahari ya huba
Haikuwa rahisi mmoja wetu kuibuka
Ghafla imepigwa fimbo ya Musa
Mimi Misri wewe Kaanani
Wewe asali na maziwa
Mimi huku taabani
Moyo umejawa giza
Furaha naisaka kwa tochi
We samaki umenimeza
Kutoka kwako hadi Ninawi ooh

Chorus

Ifungue kwa busu
Ni yako inakuhusu
Sikuwa na namna ya kukufikia
Ila kwa baraua
Insta marufuku
Piga simu ni patupu
Hakuna namna ya kukufikia
Ila kwa barua
Verse Two

Nimeshaiona milele
Tukipanda kwa kilele
Raha mustarehe
Mi nikachagua unyonge
Ukanipa ufalme
Penzi debe
Nikachagua kikombe
Shetani alinizidi kasi
Malaika ingilia kati, ooh

Chorus

Ifungue kwa busu
Ni yako inakuhusu
Sikuwa na namna ya kukufikia
Ila kwa baraua
Insta marufuku
Piga simu ni patupu
Hakuna namna ya kukufikia
Ila kwa barua

Bridge

Moyo umejawa giza
Furaha naisaka kwa tochi
Shetani alinizidi kasi
Malaika ingilia kati
Chorus

Ifungue kwa busu
Ni yako inakuhusu
Sikuwa na namna ya kukufikia
Ila kwa baraua
Insta marufuku
Piga simu ni patupu
Hakuna namna ya kukufikia
Ila kwa barua

( Rodjazz )
www.ChordsAZ.com

TAGS :