Song: Dera
Artist:  Cougar Zybog
Year: 2022
Viewed: 37 - Published at: 3 years ago

Dera Dera Dera Iende na body×2
Cheki nataka collabo na manager
2030 nataka u senator
Naskia mi ni black American
Mistari nimjaza kwa jerican
Skiza mdundo wa ngoma
Wenye wivu wanashikwa na homa
Msanii arudi kwa boma
TRC bado ni noma
Luku napiga na jumia
Pesa nimejaza kwa gunia
Bado wajinga wanaumia
Cougar ameshinda narudia
Zybog amerudi na change (Wasee ongeza Security)
Najenga Oyugo bila friends
Next time nadunda na benz
Oyugo nashukisha rent
Maybe na 20 percent
Kesho utaniona gazeti
Buda leta spaghetti
Usishuku nina senti
Mi ndo nachenga ka Mendy

Dera Dera Dera Iende na body×4


This time nimekuja na ubaya
I got the vibe akuna kukana
Nasettle tu biff kama una granj nipate kibanda
Niko na skill na bars nafunga magoli utadhani kandanda
Marapper fake kumbaff nenda mnyore mrudi kulala
We ni baby mi ni parent
Acha pressure hii ni talent
Bado wengine wako barren
Ngoma imefika adi karen
Khali collabo sarkodie
Cougar collabo na bobby
Ngoma itapendwa na mbogi
Hater watapiga makofi
Bado anadai ni chopi
Exam alishindwa kucopy
Bado natisha ka zombie
Unajidai na bado usongi
Acha dudu mi ndo konki
We zuzu acha ugomvi


Eyo my niggas I've been doing this shit for O-Town people. Shout out to slimmer, my broda Stallone,My Lovely lady Ruby,my broda ricky
My shemko lizz shout out mah people ,,,Bless

Dera Dera Dera Iende na Body×4

( Cougar Zybog )
www.ChordsAZ.com

TAGS :