Song: Goo Rapcha
Artist:  Rapcha
Year: 2021
Viewed: 46 - Published at: 9 years ago

Kwa Heshima ya getto

Nyoosha ngumi juu Onetime

(yes) Up Up Up

Breaking News Kituo Cha polisi kimevamiwa

(yes) Up Up Up

(Say whaaaat)


Verse 1

Roho Safi ya kirasta

Lifestyle flani toka Westside ya ki-gangsta

Ndoto ndio zimenitoa mtaani (bless Up)
I'm sorry Mama Kabla ya gari ntanunua Gun (Alright)

Mchizi tokea Shytown

Nikakutana na Microphone

Inspired na Babastylez, Coweezy Na Babilon (alright)

Ka ulifunzwa na mamaako ukaleta ubishi

Walimwengu hatuhitaji Ada kuku-teach (No way)

Tamaa zinatoa roho

Ijia ulichofata hapa town then stick kwenye plan

Na Ukikosa self control

Life inakuficha, ficha.. whooah!

Young star, Rap Star

King Shit

Rasta
Man I love this Game

Nikiwasha Mziki Unafika kila sehemu

Na Still Wanazimika Na Lifestyle (ooi)


Chorus

Eeee oooooww

Hauwezi kunitoa kwenye mission

Eeeeeeeehh oowww

Huna la kufanya usitutishe

Go Rapcha! Go Rapcha! Go! Go! Go Rapcha

Leta pesa ndo nikinukishe

Go rapcha! Go Rapcha! Go! go! Go! Rapcha!

Last king of 90’s baby

Verse 2
Street Life Codes kwenye hustle

Hujui Nani Ataku-save fanya uishi peace na wenzako

Maana haya maisha Kama taulo lako

Sehemu inayofuta Uso jioni Asubuhi ilifuta Tako

Ukiwa na pesa baba pisi Hazinuni

Boss Kagandwa na chawa Afu hajikuni

Usijikanyage ukiwa Chaka na wahuni

Jikute Una sura mbaya afu hujui ngumi (mxieeew)

Kabla ya Music ilibaki kidogo niwe priest

Ila mchongo ukawa tough sikufichi

Boooom! nkaanza kutamani vidada vibichi

Nkachafukwa Nkaanza kuvipelekea 6 inches

So nafanya for the Culture

I came a long way siwezi kacha

Hii struggle from streets mpaka niwe Rockstar

Till the day I go down

Bongo ita-sing my name

So Pay Respect whenever you hear ma name

Young star, Rap Star

King Shit

Rasta

Man I love this Game

Nikiwasha Mziki Unafika kila sehemu

Na Still Wanazimika Na Lifestyle (ooi)


Chorus

Eeee oooooww

Hauwezi kunitoa kwenye mission

Eeeeeeeehh oowww

Huna la kufanya usitutishe

Go Rapcha! Go Rapcha! Go! Go! Go Rapcha

Leta pesa ndo nikinukishe

Go rapcha! Go Rapcha! Go! go! Go! Rapcha!

Last king of 90’s baby

( Rapcha )
www.ChordsAZ.com

TAGS :