Artist: Rapcha
Lyrics of Artist: Rapcha
Lyrics of Artist: Rapcha
[Lyric] Nitakucheki (Rapcha)
Rapcha International waoneshe Verse 1 Kama umenikosha hivi Siwezagi kuzama simple Usione umenishika akili Usije ukajidanganya hivyo Bridge Aaaaaahhh (Babe wee tulizana tu) Aaaaaah ( ila umenichangaya mno ) Aaaaaah ( Basi we tulizana tu ) Aaaaaah (si tunaeza Bonga baadae!?) Chorus Ntakucheki....(Ntakupigia) ama utanicheki Will you check...Learn MorerbRapcha[Lyric] Go Rapcha (Rapcha)
Kwa Heshima ya getto Nyoosha ngumi juu Onetime (yes) Up Up Up Breaking News Kituo Cha polisi kimevamiwa (yes) Up Up Up (Say whaaaat) Verse 1 Roho Safi ya kirasta Lifestyle flani toka Westside ya ki-gangsta Ndoto ndio zimenitoa mtaani (bless Up) I'm sorry Mama Kabla ya gari ntanunua Gun (Alright) Mchizi tokea Shytown Nikakutana na...Learn MorerapRapcha[Lyric] Mungu Na Masela (Rapcha)
Chorus: Rapcha Maskani tukipita wakaniona Roho zao zinawachoma Hawataki Nidake Salio “Namba” Wame-tight kila kona Verse. 1 Masela eeh Chap chap usikae tu kibwege Ki-stone ku-siz na mbege Bongo ka Kuna ubwege Kinachotutesa ni umaskini chuki na nye*** Text moko DM kisha akanivutia waya Nkaibuka Dar na mziki wanauskia now Fame ndo...Learn MorerapRapcha[Lyric] Kama Unae (Rapcha)
Kama unae Kama unae kama unae Kama unae mmoja mposti Kama unae kama unae Kama unae mmoja mposti Verse 1. (Rapcha) Babe tuna-match hawagusi Staki kuvaa tena nuksi Kucheat sasa nukta Tunashare perfume hata nikikucheat harufu inanisuta Post mpaka wakublock, huh! Safi! Kama hawana bundle wasaidie WiFi Wana jealous kuona sipepesi kwako Na we sio...Learn MorerapRapcha[Lyric] Tunajimwaga (Rapcha)
Yea yea yeah yeah Verse 1 Hii sound ndio wana wanaipenda Popote wana-vibe wanacheza Show me now kama you can dance Onesha ka unafeel hii sound Ushanipata! Ladies whine.. whine.. whine Show them ka uko fine fine fine Wanangu wako high wana-blaze chunga usiwadisturb (oooh aaaiyaah) Bridge One time for my Shytown girls (Oyeaah) Two times...Learn MorerbRapcha[Lyric] Majani (Rapcha)
M. A. J. A. N. I (Majani) M. A. J. A. N. I (Majani) M. A. J. A. N. I (Majani) Verse 1 1996 yeah i started running this game Nkakiwasha and nobody else was running the game like (Majani) Ikaja fame na nikabaki the same me Coz I don’t play stupid games wana wakawa wana-blame Kwamba mchizi ana mahasira kama mbogo Niko real staki upuuzi nkawa...Learn MorerapRapcha[Lyric] Lissa 2 (Rapcha)
Eugen sogea karibu kidogo Kabla sijakata pumzi ya mwisho tuongee japo kidogo Enjoy kila siku iendayo kwa Mungu Kwenye maisha ya mwanadamu siku za furaha huwa ni ndogo Sijapanga kumkufuru muumba Ila kwa leo tu ningemuomba arudishe tu masaa nyuma Haya mateso nnayopata kwenye hiki kitanda Damu yangu itamlilia Lissa haitokaa kimya Mwambie...Learn MorerapRapcha[Lyric] A.D.E All Day Everyday (Rapcha)
Verse 1 : {Rapcha} I had a dream last night Nipo kwenye mansion Shytown, blazing skunk Feeling so fresh 99 lifestyle A.D.E (All Day Everyday) Jini pass me a blunt Wait a minute! Nimepoa na main chick and she looks like Kylie Wait! Phone call toka Nairobi, I’m talking to Khali Cuz you know i got the keys Man soon nita-pull up K E...Learn MorerapRapcha[Lyric] Lissa (Rapcha)
Saa Sita Mchana jua la utosi Chuo Boom limetema Nimekaa Kibosi hata presha ya msosi sina Prr somebody's calling, Ooh Kumbe Lissa Nimemsave Love Of My Life Nkaweka Na Loud speaker Nkamsikia Anaongea Ka Analia Nkamuuliza are you okay Monalisa?? Akaniambia Baby siko sawa kabisa Nadaiwa Ada Na Jumatatu ndo tunaanza paper yani Na nisipolipa...Learn MorerapRapcha[Lyric] Goo Rapcha (Rapcha)
Kwa Heshima ya getto Nyoosha ngumi juu Onetime (yes) Up Up Up Breaking News Kituo Cha polisi kimevamiwa (yes) Up Up Up (Say whaaaat) Verse 1 Roho Safi ya kirasta Lifestyle flani toka Westside ya ki-gangsta Ndoto ndio zimenitoa mtaani (bless Up) I'm sorry Mama Kabla ya gari ntanunua Gun (Alright) Mchizi tokea Shytown Nikakutana na...Learn MorerapRapcha[Lyric] Unaua Vibe Remix (Rapcha)
Ametinga kinoma Mwache acheze ajimwage (Femi uno) Tinga kinoma Dj tena idondoshe Verse 1 Nikapatana na mchizi Akanishow vile ameomoka Nikamshow basi alipe bill tukiondoka Kwanza sikuamini ile mtaa anapotoka Saa za mechi mi nacheki jo boxer imetoboka (wuuuh) Haina issue nikaona wacha nimpe vitu Nikavua mini ndio acheki ka see through Leo...Learn MorerapRapcha[Lyric] Vunga (Rapcha)
Chorus: Fanya kama hujaniona Fanya kama hujaniona Tukiumana kona Fanya kama hujaniona' ka una pigo za kiree, Basi' Yeah *Blaq>>Blaq* Fanya kama hujaniona Fanya kama hujaniona Tukiumana kona Fanya kama hujaniona' (Ah) ka una pigo za kiree, (Ah) Basi' Verse 1: (?) na pia, Mi i keep it ninety nine plus one ,100 Leo nasafisha njia' saa hivi na wana...Learn MorerapRapcha