Song: KIMBIA MBIO
Artist:  BoiSlee
Year: 2016
Viewed: 77 - Published at: 7 years ago

INTRO [BoiSlee]:
Its your boy B O I S L double E
BoiSlee in the one and three
Got my nigga Daddy Sean in this shit
Asa mbona mnakimbia mbio Mbona mnakimbia
Mbona mnakimbia mbio Mbona mnakimbia
Mbona mnakimbia mbio Mbona mnakimbia

VERSE 1 [BoiSlee]:
Aah!! I got bars You got bars He got bars
I got money You got money He got money
We living a life where people only want money
We work to get money we work for the money
The people in the Underground they be so Hustling
Hakuna kitu kirahisi magumashi mingi
Kiki na Wizi vimetawala kichizi ndomana sisi wa chini twaminywa chini kwa chini
Nami nataka kuwa rich, niwe napata vizuri
Jana kapata, Huyu kapata, Yule kapata Why not me
Niwe navuta mimoney, Uvimbaji mjini
Huyu anagari, Yule anagari, Minna gari Ferrari
Feeble-brains keep on doing whatever they want
The Bigger Brains keep on doing kuwa number one
They gonna hate you, Gonna break you, Gonna!!
Joie de Vivre we gon' live it
We gon', Slay 'em down
BRIDGE [BoiSlee]:
Mlikuwaga mwasema sana
Sasa nione kitu gani venye nyinyi mwafanya
Nikajituma nikapigana
Sasa nimedevelop bora zaidi ya jana x2

CHORUS [BoiSlee]:
Venye mbona mnakimbia mbio Mbona mnakimbia
Mbona mnakimbia mbio Mbona mnakimbia
Mbona mnakimbia mbio Mbona mnakimbia
Mbona mnakimbia, Mbona mnakimbia mbio
Mbona mnakimbia mbio Mbona mnakimbia
Mbona mnakimbia mbio Mbona mnakimbia
Mbona mnakimbia mbio Mbona mnakimbia (Kimbia)
Mbona mnakimbia mbio

VERSE 2 [Daddy Sean]:
Since day one kipindi minaanza hustle
Tizi tele ili nije nipate nice flow
Masnitch daily waliniponda nkiwa na earphone
Na street daily walinisema kwamba hawanisomi
Sikuwa na raha maneno yalinipa njaa
Kila nikichana wana wananishangaa
Wanasema niache mziki hautonifaa
Eti nitabaki underground kamwe sitong'aa
Na bado nakaza na bado nahanya kuchora siwezi stop
Kipindi nafanya mlinibana kamwe mi sichoki
Na mlinikanya nikapambana sasa hamnijoke
Na mlitukana nikanyamaza lakini siwaogopi
Kama namuona Mary
Kama namuona Rose
Kama namuona Annie
Annie are you Ok No
I got money on my mind and my Swagg is on
Life iko very well call me Daddy Sean
BRIDGE [BoiSlee]:
Mlikuwaga mwasema sana
Sasa nione kitu gani venye nyinyi mwafanya
Nikajituma nikapigana
Sasa nimedevelop bora zaidi ya jana x2

CHORUS [BoiSlee]:
Venye mbona mnakimbia mbio Mbona mnakimbia
Mbona mnakimbia mbio Mbona mnakimbia
Mbona mnakimbia mbio Mbona mnakimbia
Mbona mnakimbia, Mbona mnakimbia mbio
Mbona mnakimbia mbio Mbona mnakimbia
Mbona mnakimbia mbio Mbona mnakimbia
Mbona mnakimbia mbio Mbona mnakimbia (Kimbia)
Mbona mnakimbia mbio

OUTRO [Daddy Sean]:
Yeah! Imma Daddy Sean right here
With my nigga BoiSlee
El-Nino Music, Wahane. Yeeah!!

( BoiSlee )
www.ChordsAZ.com

TAGS :